ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Uchawa ni kazi ngumu Sana, usiku wote huu kazi kuandika makala za kusifu na kuabudu watawala!!Mh. Rais ana wakati mzuri katuliza hisia mood za Watanzania ziko vizuri zinachambua mambo Kwa undani. Uelewa umeongezeka na uwekezaji mkubwa ufanyike Kwa mambo ya utalii miundombinu ni sahihi.hela isimamiwe na watu wote kushukuru Mungu. TUPAMBANE LAZIMA TUTAFIKA WAZEE WANGU HATUPOTEI NI SAHIHI.
Own in AFRICAUchawa ni kazi ngumu Sana, usiku wote huu kazi kuandika makala za kusifu na kuabudu watawala!!
Life hili likubali cool down.Uchawa ni kazi ngumu Sana, usiku wote huu kazi kuandika makala za kusifu na kuabudu watawala!!
upo sahihiMh. Rais ana wakati mzuri katuliza hisia mood za Watanzania ziko vizuri zinachambua mambo Kwa undani. Uelewa umeongezeka na uwekezaji mkubwa ufanyike Kwa mambo ya utalii miundombinu ni sahihi.hela isimamiwe na watu wote kushukuru Mungu. TUPAMBANE LAZIMA TUTAFIKA WAZEE WANGU HATUPOTEI NI SAHIHI.