Nchi inafungwa

gnasha

Member
Joined
Jan 19, 2007
Posts
83
Reaction score
6
Hizi mesage nyingi bwana vituko vitupu. Hebu angalia hii hapo chini:-

"Kutokana na migomo inayoendelea nchini, Raisi ametangaza kufunga nchi kwa muda usiojulikana. Ifikapo saa 10 jioni asionekane mtu nchini. Ninavyoandika message hii nipo Uganda."
 
kwani yeye atakuwa wapi kama anasema asionekane mtu, kwa Obama nini?
 
Mimi Nasoma hii taarifa nikiwa Tripoli na Muheshimiwa....
 
kwani yeye atakuwa wapi kama anasema asionekane mtu, kwa Obama nini?

Ulitegemea wapi tena? au umesahau na sisi ni jimbo la kule? Ila ametutafutia nafasi chache Somalia,Sudan,Iran,Irak na Afghanstan.Wahi fasta!
 
Znz nayo imefungwa maana nauli yangu ni kidogo, uwezo wa kwenda somalia ni mdogo.
 
Znz nayo imefungwa maana nauli yangu ni kidogo, uwezo wa kwenda somalia ni mdogo.

Umesahau zanzibar nayo ni sehemu ya Tanzania,tena Pinda alishasema si nchi!
 
Niko huku visiwani,nikikuunga mkono kuwa Znz si nchi mtakuwa hamnioni tena jf. Ukiwa huku lazima useme Znz ni nchi.
 
Yeye Rais ndo anapaswa Kufungwa na Watanzania,na si yeye kuifunga nchi,kwani yote yanayotekea anawajibika moja kwa moja kama mkuu wa nchi.Yote yanayotokea ni mwamko wa kijamii,na ni saa ya ukombozi,,,watz amkeni sasa na ukombozi upo mikononi mwetu
 
We umesahau sera yao ktk chama caho? Wanaamini mkubwa na mwenyenguvu hakosei!
 
Nipo likizo, nje....... nashukuru kwa taarifa hizi, itanilazim kuongeza siku zisizojulikana.

hii tunaiita positive effects, bora ifungwe!!! kwanza chakula kilishaanza kuisha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…