Seleman Mwampyate
Member
- Jun 4, 2024
- 6
- 1
Hii nchi inahitaji maono yatayoishi kama muongozo wa kila mtu atayekuja kuliongoza taifa haihitaji mtu.
Akija mtu mzuri akiondoka ndo basi akija mbaya ndo hivyo lazima uwepo msingi wakutuongoza wote.
Malengo makuu ya taifa yapewe kipaumbele labda hii miaka mitano kitekelezwe hiki ndipo tutapata maendeleo.
Ila kama ni hizi siasa za apite fulani tutaendelea kuumizana tu.