Sakata la Kariakoo limeonyesha wazi namna nchi inavyonuka rushwa za waziwazi. Hii ni sehem moja tu iliyomulikwa na inaonyesha watumishi wa umma has TRA na FORODHA wanavyokula kwa urefu wa kamba zao bila kuogopa sheria za nchi.
Hii hali ya rushwa za waziwazi na uzembe kwa watumishi wa umma imetapakaa kote serikali anzia Halimashauri, TRA, POLISI, Mahakama na kila mahali
Cha kushangaza zaidi ni vyombo vyetu vya habari ambavyo vimekuwa mateka wa wa serikali hii kwa sababu ya rushwa kwa waandishi wa habar na marupupu mengine
Kwa ujumla nchi hii kwa sasa inapitia hali ya wasiwasi mkubwa sana, kijamii, kiuchumi na kihabari. Matokeo ya utendaji dhaifu wa serikali hii unaende kuwaacha mamilioni ya watanzania katika umasikini na dhiki ya mda mrefu.
Maeneo yatakayoadhirika zaidi katika miaka ijayo ijayo kutokana na udhaifu wa seikali hii ni pamoja Kiwangu duni sana cha elimu, Huduma mbivu sana za afya