Nchi inatafunwa, viongozi wa Dini kimya

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
2,625
Reaction score
3,141
Tanzania inatafunwa kwa kasi ya ajabu, lakini viongozi wa Dini wapo kimya wakisubiri SADAKA na mialiko ya kwenda IKULU kufaidi mema ya Nchi.
 
Dini ni taasisi inayosajiliwa na serikali
Sasa ulitaka waseme nini au ulitaka wasemaeje??
 
Wengi wao ni sehemu ya wanufaika wa Pesa hizo za Wizi kwenye sehemu zao za Ibada,wanasiasa wanazitakatisha Kwa kivuli Cha misaada,harambee etc...... ndiyo maana hawawezi kukemea
 
Tanzania inatafunwa kwa kasi ya ajabu, lakini viongozi wa Dini wapo kimya wakisubiri SADAKA na mialiko ya kwenda IKULU kufaidi mema ya Nchi.
Wanazawadiwa magari na hao wanaopiga unategemea nini hapo
 
Huwezi kuwapigania wajinga kama watanzania maana kwao wezi ni desturi usipo iba wanakuona mjinga
 
Dini ni taasisi inayosajiliwa na serikali
Sasa ulitaka waseme nini au ulitaka wasemaeje??

Wasemeje!!?-- kwani hao viongozi wa dini hawana midomo ya kusemea?!, Waseme tu; nchi inatafunwa, inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…