Asante kwa hiyo article nzuri sana japo imeishia kunihuzunisha.
Tuanzie hapo juu. Sifahamu kama makaa hapo yapo chini sana lakini siyo sababu ya msingi. Tuna makaa ya mawe Kiwira na yapo mengine Ruvuma, kama unaenda Mbinga. Hawa wa mbinga huwa wanasafirisha kabisa hadi Arusha. Hatuwezi kushindwa kusafirisha makaa ya mawe kutoka Kiwira au Ruvuma. Ruvuma na Ludewa zimepakana tu. Morocco huwa wanasafirisha makaa ya mawe kwa meli Kutoka SA. Hatuwezi shindwa kusafirisha km 150-200.
Kuja kwenye Article yako. Hakuna sehemu wamesema kuwa mradi ulishindwa kwa sababu hauko sawa kiuchumi bali wamesema shida ni sera za fitina za IMF, WB, Rushwa,Urasimu nk. Amelaumu kama ymewahi soma A confession of economic hit man, article imeeleza kitu kama hicho. Nchi tajiri na haya mashirika hatako tayari kukukopesha ujenge steel plant au kiwanda cha matrekta ila wanakukopesha ujenge vitu kama daraja la kupita baharini salenda.
Congo inaweza kulisha bara lote hili chuma na umeme. WaSA walitaka kuwekeza kwenye mradi wa Inga wa 40,000MW. Mara ishirini ya stiegler's lakini wote tunajua shida ya DRC.
Nitaweka hapa chini jinsi watu walivyozungumzia umuhimu wa steel kutoka kwenye hiyo article.
Mkuu hili hata huko juu kidogo nimegusia. Hii AI, machine learning na robotics kazi yake kubwa ni kusaidia uzalishaji, hasahasa viwandani. Machine learning inasababisha AI iwezekane. AI inasabaisha robots zifanye kazi. Robots zinafanya kazi ya uzalishaji. AI yenyewe inaweza tumika kucontrol uzalishaji nk.Jibu la swali lako ni NDIO.
Dunia inakoelekea, vitu muhimu kuliko vyote ni elimu ya kweli, kwenye mambo ya msingi, hasa wa kisayansi, teknolojia na hisabati; pamoja na:
1. Artifical Intelligence
2. Machine Learning
3. Big Data / Data Science
4. Robotics
Mapinduzi ya Nne ya Viwanda. OP unazungumzia Tanzania ya viwanda vya Mapinduzi ya Pili ya Viwanda. Tujadili Mapinduzi ya Nne ya Viwanda.
The Fourth Industrial Revolution | Essay by Klaus Schwab | Britannica
A special essay on ‘The Fourth Industrial Revolution’ by Klaus Schwab for the 250th Anniversary Special Edition of Encyclopædia Britannica.www.britannica.com
Huyu professor anasema wazi kuwa hakuna nchi inaweza kuwa ya viwanda bila kuwa na uwezo wa kuzalisha chuma.
According to a pioneering Nigerian Economist, the late Dr. Pius Okigbo, in a lecture delivered at Institute Management and Technology, Enugu in 1980, warned that “No country can claim to be industrialized if it does not develop metalworking industries: it must have its own steelmaking as the basis of the ferrous metal industry. The steel fabricating industries multiply beyond count. The key lies in the establishment of iron and steel industry as the basic unit of any serious industrial development.”
Nimeipenda hiyo lecture. Ni jambo ambalo halipo mbali.Jibu la swali lako ni NDIO.
Dunia inakoelekea, vitu muhimu kuliko vyote ni elimu ya kweli, kwenye mambo ya msingi, hasa wa kisayansi, teknolojia na hisabati; pamoja na:
1. Artifical Intelligence
2. Machine Learning
3. Big Data / Data Science
4. Robotics
Mapinduzi ya Nne ya Viwanda. OP unazungumzia Tanzania ya viwanda vya Mapinduzi ya Pili ya Viwanda. Tujadili Mapinduzi ya Nne ya Viwanda.
The Fourth Industrial Revolution | Essay by Klaus Schwab | Britannica
A special essay on ‘The Fourth Industrial Revolution’ by Klaus Schwab for the 250th Anniversary Special Edition of Encyclopædia Britannica.www.britannica.com