Wengi tunafaham mabingwa wa upelelezi duniani. Wakiwemo Pakistan ,Israel, India na China (Asia). Pia U.K, FRANCE na GERMAN (EUROPE) U.S.A (AMERICA). Vipi kwetu barani Africa?
Ndugu Yangu ni vigumu sana Kujua ni Nchi gani Inaongoza Kwa Espionage Kwani Kila nchi in Strategies zake Kijasusi ila mara Nyingi nchi ambazo Zinakuwa Tulivu Kiamani huwa Ni Imara mno Kijasusi Kwani Wanajua sana Kuyawahi Matukio Kabla Hayajawa Makubwa na ya Hatari.
Haya maswali mbona yamekuwa mengi sana kipindi hiki?.
Mnataka kujua nini kuhusu Tanzania ?.
*Au kwa kuwa mnajua Watanzania sio wachoyo wa materials, ndio mnataka kutumaliza kwa huu ukarimu wetu ?.
***Wewe ni Jasusi la nchi jirani na wala huna uzaramo halisi wowote***
Rwanda nadhani wako vizuri kwenye upelelezi, wa kimataifa na hii hasa inachangiwa na uzarendo wa wananchi wao katika nchi yao, hata uwape nini jamaa akiona issue tu lazima akulipe juu na watu wa juu wako makini sana
Tanzania tupo juu sana, ila ccm wamechakachua TISS yetu.
Hata makaburu wa SA waliigwaya tz, sababu zamani ilikua hujui nani TISS nani raia.
hata vichaa walikua wanahofiwa kwamba ni TISS.
Tukipata uongozi madhubuti Mara moja uzalendo unarudi.!!!
1Southafrica
2Egypt
3United Republic of Tanzania
Kama hamfaha habari ndohiyo najua mtadhihaki sana lakini habari ndo hii wawe division 4 au 0 hiyo ndivyo ilivyo
Nipo nakula zangu kilimanjaro hapa Pema pub. Hapa meza ya jiran kunamzee kalewa. Analopoka. Mi usalama {ni kweli} ila najaribu kuwaza {kwa sauti} kwa wenzetu usalama wao kwa wao hawajuani. Ila why hawa wetu wapo kama hii lizee ------- hapa. Why why mbna sio kama kipind kile cha nyerere na mzungu wa songea.