Nchi inazidi kuparaganyika, vyombo vya ulinzi na usalama vyachapana risasi kwa sababu za rushwa

Nikawaida kwa nchi zenye uchumi mkubwa watu kuchapana risasi wewe huoni Nigeria, Yemen, Iraq, Libya na USA
Sababu kubwa nikuzagaa tu silaha hata hapa bongo filaha zingekuwa zimezagas watu wangepigana sana risasi si umeona kenya kachoka siraha juzi juzi tu
 
Kule kwa "Mungu" wenu Marekani, watuumiwa wa ugaidi kule Guantanamo bay wamekaa miaka mingapi?. Ninyi hata mahakamani hamuwapekeki badala yake mnawapiga risasi barabarani. Failed state ninyi.
Wacha kuruka ruka hapa...
Tanzania mtuhumia wa ugaidi hewa anakaa jela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mpinzania anakula risasi maeneo ya bunge au hata kupigwa mapanga...
Risasi inafyatuliwa hewani na kukata kona kuua mtu..

Mtu anatekwa halafu cctv inapiga picha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…