Uchaguzi 2020 Nchi ipo salama uchaguzi wa nini 2020

Uchaguzi 2020 Nchi ipo salama uchaguzi wa nini 2020

Emma M Bai

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
223
Reaction score
126
Sioni umhimu wa uchaguzi wa 2020 bwana mkubwa alipaswa aendelee kutumbua tu Na kupiga kazi
Kama uchaguzi utafanyika ni matumizi mabaya ya pesa huyu alipaswa aendelee kuongoza akiamua kung'atuka sabu ya umri wake tutaangalia mbona mgabe alikuwa vizur tu

#pingauchaguzi
#magufuliforreal
#Tumekupanchimzee
 
Kwani mwaka 2000,2005,2010, 2015 Nchi ilikuwa Vitani? Mbona kulikuwa na Uchaguzi.

Tumia Akili yako vyema kila unapofikiri.
 
1566633942867.jpeg
 
Back
Top Bottom