Nimesoma hii habari kuwa Tanzania ni nchi ya pili katika kuamini ushirikina nikashtuka sana. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba hata mikoa inayoaminika kwa ushirikina haina maendeleo kivile mikoa hiyo ni pamoja na Kigoma, Sumbawanga nk!!
Yaani mtu anaamnini katika mizimu kwamba inaweza kumfanyizia kazi na siyo juhudi zake za kufanya kazi.mfano unakutana na Bango limeandikwa : mganga kutoka Sumbawanga anatoa dawa ya kupandishwa cheo kazini, kufaulu mitihani, kupata fedha!! Matangazo kama haya huwa yananiidhi sana kiasi Cha kuona tunadhalilika sana kimataifa!!

Tanzania ya pili Afrika kwa imani za kishirikina
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya pili Afrika katika kuamini ushirikina ikitanguliwa na Cameroon kutokana na ukubwa wa matukio yanayohusishwa na imani za kishirikina ikiwemo mauaji ya wazee 117 katika kipindi cha Julai 2017 hadi Mei 2018. Mauaji hayo ambayo yalihusisha wanaume 91 na wanawake 26...
www.jamiiforums.com