Serikali ifute mikopo ya elimu ya juu kodi zetu ambazo hazirudi kwa sababu wahitimu hawapati ajira.
Badala yake hizo pesa iboreshe elimu ya Veta ichochee ubunifu nchini.
Ina maana gani kusomesha watu hadi chuo kikuu then wanakuja kufanya kazi zisizo hitaji vyeti mfano bodaboda ni matumizi mabaya ya raslimali ya mda na fedha.
Tuboreshe vyuo vya kati ikiwemo Veta ili kupata ujuzi wa kuinua vipawa vyao.