nchi mpya, katiba mpya, serikali mpya, mipaka ya tanganyika

nchi mpya, katiba mpya, serikali mpya, mipaka ya tanganyika

kalcha

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
79
Reaction score
12
naota kuwa mabadiliko ya katiba yatapelekea kuwa na nchi mpya muda si mrefu ujao...
naota pia kuwa nchi hiyo itakuwa kwenye mipaka ya iliyokuwa Tanganyika kabla ya Muungano
Naota... kuwapo kwa katiba mpya, bendera mpya, nembo mpya pesa mpya, dola mpya, jeshi jipya vinavyojali maslahi ya wananchi walio wengi na wenye mawazo ya kujali maisha ya wenzao
Naota kuwa na serikali mpya inayojali rasilimali za nchi, yenye kiasi na inayoweza kuwa na kauli dhidi ya mtu yeyote bila kujali mapembe yake....
Naotaaaa.... kila mwananchi kuwa tayari kwa hali yeyote kuhakikisha kuwa haki inatendekeka na anatimiza wajibu wake wa kuchangia maendeleo ya Taifa badala ya ya kujineemesha binafsi

Naota... na huenda kawa kweli katika kipindi kifupi... ndoto bana
 
Back
Top Bottom