soine
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,113
- 2,329
Amani kwenu Wana JF!
Kichwa cha habari chajieleza. Nchi nyingi za ulaya zimeamua kuondoa sheria ama kanuni za kiafya za kujilinda na uviko. Kwa sasa hakuna barako, hakuna kujifungia na kujitenga.
Ni mwendo wa kuishi na corona kama Bongo. Hii inachukuliwa ili kusaidia watu kujitafutia, kuinua uchumi na kuondoa social distress.
Je, sisi tuliopinga hatua za serikali ya Magufuli dhidi ya COVID 19 tulikuwa sahihi?
ANGALIZO: Huko ughaibuni takribani au zaidi nusu ya idadi ya watu wamechanjwa.