Nimekuwa nikichukizwa na kitendo cha wasomi fake kumili ofisi huku wakiwa na kiwango kidogo sana elimu huku wakijidai wasomi walio bobea kwa vyeti bandia sasa huu ujio wa uhakiki wa vyeti utatusaidia sana watu tutapata stahiki zetu kwa kukaa madalasani kwa muda mrefu lakini bila kutambuliwa huku matapeli wa elimu wakitucheka