Nchi tano kushiriki Uhuru Open Squash kwa Mwaka 2024

Nchi tano kushiriki Uhuru Open Squash kwa Mwaka 2024

Torra Siabba

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
243
Reaction score
287
NCHI tano zinatarajia kushiriki Uhuru Open Squash Tournament yanayotarajia kuanza Desemba 6-9, 2024 Jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Chama cha Squash Tanzania (TSA), Marwa Busigara nchi shiriki ni pamoja na wenyeji Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia na Zanzibar.

Busigara alisema michezo hiyo inatarajia kushirikisha wanaume zaidi ya 64 huku wanawake zaidi ya 32.

Busigara alisema michezo hiyo inatarajia kushirikisha vijana wenye umri kati ya miaka 16 na 12, lengo likiwa ni kukuza na kuendeleza vipaji vya mchezo huo.

Aidha, Busigara alisema michezo hiyo imedhaminiwa na Ambasade de France En Tanzania na CMA CGM.
 
Back
Top Bottom