Nchi tatu tofauti zinaongozwa na chama kimoja cha siasa!

Nchi tatu tofauti zinaongozwa na chama kimoja cha siasa!

MIAMIA.

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
210
Reaction score
82
NCHI TATU TOFAUTI ZINAONGOZWA NA CHAMA KIMOJA CHA SIASA!...Hii inakaaje?


  1. Tanganyika (Tanzania Barani)
  2. Zanzibar (Tanzania Visiwani)
  3. Tanzania Jamhuri (Shirkisho).............kama atumdangi mtu,tunajidanganya wenyewe-NAFAHAMU NAEZA PAYUKA JUU YA HILI LAKINI KAMA MAGENIUS WAMESHAAMUA,NA ITAKUWA HIVYO;LAKINI PAMOJA NA KUWA HIVYO;HII NI NADHARIA YA MAGENIUS WA KIJAMHURI...JAMHURI YA HADIDHI ZA SIKAMONA.Mungu BARIKI MASALIA,NAMI NIKIWEMO.
 
Back
Top Bottom