Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wakataa kuyatambua majimbo ya Ukraine yaliyochukuliwa na Urusi

Toka afrika mashariki
Tanzania 🇹🇿
Burundi 🇧🇮
Rwanda 🇷🇼 nashangaa wamejumuishwa kuwa wamepiga kura ya mabeberu tofauti na ukweli ulivyo
Uganda 🇺🇬
Sudan kusini🇸🇸

Kutoka afrika mashariki nchi zilizo kubaliana na mabeberu
Kenya 🇰🇪
DR Congo

NB:
Kura hizi pia huwa zina nunuliwa ili mataifa yenye nguvu kupitisha ajenda zao na mataifa mengine kunufaika na pesa hizo kwa kupiga kura hata kama ni kinyume na utaratibu Au athari mbaya

Pia mataifa yanayo athiriwa na kura hizo huwa zina ziangalia kwa jicho la taadhari mataifa ambayo yanapiga kura tofauti na wao, na wana weza kuwa katia misaada Au kuboresha mahusiano ili aweze tumika huko mbeleni

Hizo ni siasa za ktk umoja wa mataifa...

Wengi huwa tuna chukulia poa kwanini Tanzania 🇹🇿 huwa ina kaa katikati hata katika mambo tuna hisi yapo wazi tofauti na huko nyuma ilivyokuwa ikisifika kama mtetezi na kukemea wazi wazi baadhi ya mambo
 
Lakini kuitambua Israel na kuiacha Palestina walikubali.. mbona double standard kubwa hivyo kutoka kwa hao watu wa upinde wa mshale

Sent from my [emoji23] JamiiForums mobile app
 
Kenya itatawala hii East milele maana sisi wengine hatujui kujiweka sehem sahihi kujiendeleza yaan tunakaza shingo kuegemea upande wa China na Urusi watu wanafikiria hata kuja kuchukua ajira zetu za kuuza mahindi , Kenya anajichukulia points baada ya migogoro utaona kenya atakavyo jipigia bingo
 
mamb mdo mdo Iraq na Libyia ilikuwa hv
 
ww ni kubwa jinga mzaz wako alipiteza ada tu , hv alievamiwa na USA au UKRAINE ? tunapinga uvamiz wa Urusi kwa nchi iliyo huru ya Ukraine , kama USA alikosea sehem bas kosa lake halihalishi nchi nyingine kuvamia nchi dhaifu , HUO NI UNYAN WA KIAKIL
 
Nireteeni Putin, nireteeni Putin........ (In the late Magufuli's voice)! Piga sana hao Ukraine mpaka UN Security Council wachanganyikiwe!!
kwann unashangilia nchi iliyo huru kuvamiwa , utaletewa majina ya nchi nyingine wala hutosikia mtu akisema ukraine imevamiwa kwasabab moja mbili tatu , WALE MAZOMBIE TULIOKUWA TUNAWAONA KWENY MUVI TUNAWAONA SASA HV MITANDAON WATU AKILI NI 0 KBS , ETI KISA USA ILIVAMIA IRAQ ETC BAS NI SAWA NCHI NYINGINE KUVAMIWA PIA , SASA UNAJIULIZA MBONA SION UHUSIANO
 
Na inakuwaje hawa raia waliopo Jamii forum wanamtetea mrusi , mwakilishi wa nchi yao kule UN ameshindwa kuwakilisha matarajio yao ?
weng wavaaa kobaz wanahis vile ni vita vya kidini hlf wanasaha urusi na ukraine ni dini moja wote so mitizamo yao kidin inafanana tu
 
ww ni kubwa jinga mzaz wako alipiteza ada tu , hv alievamiwa na USA au UKRAINE ? tunapinga uvamiz wa Urusi kwa nchi iliyo huru ya Ukraine , kama USA alikosea sehem bas kosa lake halihalishi nchi nyingine kuvamia nchi dhaifu , HUO NI UNYAN WA KIAKIL
Basi kila mtu ashinde mechi zake mrusi nae hana kosa acha nalo lipite tu
 
Mbona hawayakatai maeneo yaliyochukuliwa na Rain bow namba Moja Israel?
kwan lin Israel kaanza kuwapiga Palestina , mara nying Palestina huanza wapiga Israel na wao hujibiwa , wapalestina sio watu wa kuungwa mkono , kwa dunia ya leo ni ngumu kuchagua wa kuish nae , mtu mbaguz anaeza mbagua hata ndugu zake , wavaa kobaz kuwen makin mnajiingizaga mtegon kwa kusapot kila kitu kisa ni dini moja , wapo waisrael waislam ila hao jamaa wanawabagua
 
kama China na India ( soko la wazungu ) wakikaa pemben basi Urusi anachakaa mapema sana , na wazungu wana mahesabu watajitahidi kuchochea ugomv kati ya India na China aua China na Taiwan mmoja akijaa tu akawa bize na vita bas Urusi kaisha yaan atapigwa kama ngoma , Yeye mwenyew alikiri kuwa wazungu wanajiandaa kumvamia
 
Madua yenu tokea mwezi wa 2 mnaomba ila mungu wenu shoga hawatimizii malengo yenu
 
Na Hao wa5[emoji732] ndo wanaume, Wasiopiga Kura ni Wanafiki na Walioungana na UN ni Mashoga
usipaniki bro wenzio wanaangalia mbali hata China hamuamin Putin maana kuanguka kwa west bas upinzan unakuwa jiran yake yaan India na Urusi
 
Lakini kuitambua Israel na kuiacha Palestina walikubali.. mbona double standard kubwa hivyo kutoka kwa hao watu wa upinde wa mshale

Sent from my [emoji23] JamiiForums mobile app
kasome historia vzr wapalestina ni wabaguz , awali walipewa fursa ya kuunda taifa moja na Israel ubaguz wao ndo hatima yao mpk kesho
 
India hashiriki vita kwa kuungana na mataifa mengine yeye huwa anajiweka pembeni ingawa ana washiriki wengi tu kama UAE, Russia, Israel na wengine kama Bangladesh na France

Ila kwa upande wa Uhusiano kati ya Mrusi na China walipoulizwa uhusiano wenu ni kwa ajili ya allies wakasema sisi ni zaidi ya hilo

Kwa hiyo usitegemee watakuja gombana hao China na India maana wana urafiki miaka mingi na wanaheshimiana

Labda India na Pakistan ambao wao huwa wana chokochoko kiasi pale Kashmir ila sio vita ya kubwa ya nchi mbili
Hata Modi alipoingia madarakani aliapa kuichapa Pakistan na huku PM Imran akisema thubutu
Yaliisha kwa maneno tu ya Kanga

Mkuu Dunia hii vita ni Africa tu
 
The Sino-Indian War between China and India occurred in October–November 1962. A disputed Himalayan border was the main cause of the war. There had been a series of violent border skirmishes between the two countries after the 1959 Tibetan uprising, when India granted asylum to the Dalai Lama. India initiated a defensive Forward Policy from 1960 to hinder Chinese military patrols and logistics, in which it placed outposts along the border, including several north of the McMahon Line, the eastern portion of the Line of Actual Control proclaimed by Chinese Premier Zhou Enlai in 1959.[15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…