Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wakataa kuyatambua majimbo ya Ukraine yaliyochukuliwa na Urusi

I know that
Hayo ya Tibet ndio yalileta tatizo ila kwa sasa hawana uadui tena
Besides wote wana nguvu sasa na wanaangalia maendeleo badala ya vita

Vita inarudisha uchumi vibaya sana either direct or indirect
Lakini utakuwa tunashabikia tu huku tukijua athari zake

Asante kwa ukumbusho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…