Acha upotoshaji useless kama huo ndugu mfuata mkumbo,Hatuna viongozi wenye vision nchi imebaki kuendeshwa na matukio yasiyo na msingi.
Ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama Jaji tena mkuu kutoka hadharani kukemea matusi anaacha kujadili sababu zilizopelekea kunyanganywa mradi wa Tanga oil refinery.
Jaji mwingine kapewa pesa kuliponya taifa yeye anaanza kuhesabu idadi ya matusi aliyotukanwa.
Mwingine kiongozi tena mkubwa anasema amekamata vijana 400 waliomtukana, ila hasemi amewapeleka wapi.
Miradi mikubwa inahujumiwa na mafisadi hakuna yeyote wala Jaji akikemea tunabaki kufukuzana na kina Rachel Dangwa wa Tik talk.
Kama hii nchi sio ya sengerema ni nini.
Niwe na adabu kwa naniAcha upotoshaji useless kama huo ndugu mfuata mkumbo,
ni vizuri kua na adabu kidogo na kuacha porojo
These individuals who have violated their sacred duty to the public deserve severe public backlash and contempt.Acha upotoshaji useless kama huo ndugu mfuata mkumbo,
ni vizuri kua na adabu kidogo na kuacha porojo
Mkuu unaandikaga takataka kwa lugha nzuriAcha upotoshaji useless kama huo ndugu mfuata mkumbo,
ni vizuri kua na adabu kidogo na kuacha porojo
Yaani Tanzania imekuwa taifa la kishetani "as if" Lusifa/Shetani yupo hapa na amepafanya kuwa HQ yake.Hatuna viongozi wenye vision nchi imebaki kuendeshwa na matukio yasiyo na msingi.
Ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama Jaji tena mkuu kutoka hadharani kukemea matusi anaacha kujadili sababu zilizopelekea kunyanganywa mradi wa Tanga oil refinery.
Jaji mwingine kapewa pesa kuliponya taifa yeye anaanza kuhesabu idadi ya matusi aliyotukanwa.
Mwingine kiongozi tena mkubwa anasema amekamata vijana 400 waliomtukana, ila hasemi amewapeleka wapi.
Miradi mikubwa inahujumiwa na mafisadi hakuna yeyote wala Jaji akikemea tunabaki kufukuzana na kina Rachel Dangwa wa Tik talk.
Kama hii nchi sio ya sengerema ni nini.
Soma pia
We jamaa mshenzi sana.Acha upotoshaji useless kama huo ndugu mfuata mkumbo,
ni vizuri kua na adabu kidogo na kuacha porojo
tuliza mihemko nonsense bas muerevu empty head πWe jamaa mshenzi sana.
wadau wa JF wangefurahi sana ungeandika jambo la maana kuhusu hoja iliyoko mezani gentleman πMkuu unaandikaga takataka kwa lugha nzuri
Tuonyeshe jambo la maana hata moja uliloandika hapa, umebaki kuandika gentleman na nonsense.wadau wa JF wangefurahi sana ungeandika jambo la maana kuhusu hoja iliyoko mezani gentleman π
Gentleman,Tuonyeshe jambo la maana hata moja uliloandika hapa, umebaki kuandika gentleman na nonsense.