Nchi ya fujo na viroja, mazishi yageuka uwanja wa mapambano

A dead state, nothing works, propaganda inaumbuliwa left right and centre., Soma the headlines.., an outright dead state!
Screenshot_20210408-194606.jpg

Screenshot_20210408-194628.jpg

Screenshot_20210408-194644.jpg

Screenshot_20210408-194659.jpg
 
Mbona huzungumzi kuhusu msiba wenu wa hivi majuzi, ambapo watu 46 walipoteza maisha yao, wakiwa kwenye shughuli za kumuaga mwendazake? Tena kati yao kulikuwepo na watoto wadogo. Sasa mtatupa ushauri upi wa maana kama serikali yenu inafeli hadi kwenye vitu vya kawaida sana kama kupanga mazishi?
 
Hiyo ni kuonyesha jinsi gani watanzania walivyokua wakimpenda Magufuli, kukanyagana katika mikusamyiko ni jambo la kawaida duniani kote, sio polisi kuua raia kwa kisingizio cha kupambana na Corona, au serikali kuua raia wengi katika kipindi cha uchaguzi.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
We wa Kunya sasa ile ilitokea bahati mbaye nyie[emoji205] wakunyaland mnapgana na mnauwana kwenye mazishi sasa hamuna tofauti na dingi [emoji1787][emoji1787]
Mbona huzungumzi kuhusu msiba wenu wa hivi majuzi, ambapo watu 46 walipoteza maisha yao, wakiwa kwenye shughuli za kumuaga mwendazake? Tena kati yao kulikuwepo na watoto wadogo. Sasa mtatupa ushauri upi wa maana kama serikali yenu inafeli hadi kwenye vitu vya kawaida sana kama kupanga mazishi?
 
Zungumzia $1.8B ambayo KQ imewatia hasara badala yake mnalazimika kukopa IMF ili kuiokoa KQ, failed state.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ndege za cash zinapataje hasara bana[emoji23][emoji23]eti marehemu ni genius kumbe jamaa kaacha madudu km yote..
Yani zile mbwembwe zote kumbe shirika linajinyea maskini alafu bado mjinga wanajisifia ndege za cash
 
Mbona huzungumzi kuhusu msiba wenu wa hivi majuzi, ambapo watu 46 walipoteza maisha yao, wakiwa kwenye shughuli za kumuaga mwendazake? Tena kati yao kulikuwepo na watoto wadogo. Sasa mtatupa ushauri upi wa maana kama serikali yenu inafeli hadi kwenye vitu vya kawaida sana kama kupanga mazishi?

kwamba walikuwa wanapigana waombolezaji!!au unataka kuhalalisha hiyo vita ya kijinga hapo sababu ni wakenya wenzako!!!
 
Ndege za cash zinapataje hasara bana[emoji23][emoji23]eti marehemu ni genius kumbe jamaa kaacha madudu km yote..
Yani zile mbwembwe zote kumbe shirika linajinyea maskini alafu bado mjinga wanajisifia ndege za cash

ndio utulize tundu ufikiri kwa utulivu.
 
Back
Top Bottom