Kwa kile kinachoonekana kama kupaniki,kujishtukia & kupatwa na uoga nchi maskini ya Ulaya,Poland imeamua kufanya maamuzi ya ajabu ya kutumia mbinu zozote zile ikiwemo kukopa hovyo ili kuliimarisha jeshi lake na kujiweka tayari kwa uvamizi wa super power Russia
Kwa sasa nchi ya Poland imeamua kudouble idadi ya wanajeshi wake mpaka kufikia laki 3 kutoka kiwango cha sasa cha wanajeshi laki na ½
Pia wameamua kuanza kufanya manunuzi ya dhana nzito za kijeshi ili kujiweka tayari kukabiliana na majeshi ya mwendawazimu Putin ambae anaonekana kupata makasiriko sana sababu ya kiherehere cha Poland kuwa lango la siraha zinazokwenda kwa majeshi ya manazi wa Ukraine