Nchi ya Rwanda na Rais wake Paul Kagame wamekuwa mfano bora na wa kuigwa katika kupambana na COVID-19

Unaiusia nafsi ya nchi gani?
Ifuate mkia Wa ruwanda....
Kwa Mwembamba.
 
Mimi huwa nawapa haki yao October kila baada ya miaka 5, wewe Je?
 
Hakika ni hatua nzuri. Je, takwimu za maambukizi na vifo ziko vipi hapo Rwanda? Nadhani zitatusaidia kupima manufaa ya hizo hatua.
 
Vimaneno maneno kama hivi ndivyo vilivyoleta genocide, naona hamkujifunza.
 
Mkuu Mimi nipo hapa Malawi je,ni nchi gani hiyo wenye Nyumba wameomba Kupunguza Kodi?
Ni nchi moja hivi viongozi wake kila mmoja anaamkaga na kitu chake..huyu ana hili yule ana lile..yaani ni vurugu tupu
 
The grass is always greener on the other side..
 
Sawa, mbona kesi zinaongezeka? Mfano bora ni upi ? Kuweka watu ndani tu au kucontain the disease?
Bila dawa au chanjo kuvumbuliwa, nchi zote duniani zitafeli kumaliza hili tatizo.
 
Rwanda kanchi kadogo kama piriton hata mimi nina uwezo wa kuwapa chakula wote mpaka rais wao.
 
Acha ujuaji ww mtoa mada.
Unasema Rwanda mfano wa kuigwa mbona licha yalockdown yao Bado maambukizi yanazidi kuongezeka kuliko nchi zote za EA, mpaka kagame ameamua kuongeza mda wa lockdown mpaka 19 April?

Unasema nchi zinaficha data sahihi, twambie wewe unayejua zilizokamili.

Tatzo upinzani wako umekuharibu akili.

Nyie ndo mnapenda kila siku kusikia idadi ya wagonjwa wameongezeka TanzaniA.

Kwa taarifa yako hakuna lockdown Tanzania na Mungu mkuu yupo juu ya ardhi hii sasa.

Mnatumwa na mabeberu
 
Hata mi namshangaa mtoa mada, yani anahisi kila kitu ni fashion tu, hata lockdown kwake ni fashion ya kuigwa.

Si kila kitu Ni cha kuigwa. Nyie ndo mkipewa nchi mtaiuza


Mtoa mada usituaminishe unayoyaamini.
Sawa, mbona kesi zinaongezeka? Mfano bora ni upi ? Kuweka watu ndani tu au kucontain the disease?
Bila dawa au chanjo kuvumbuliwa, nchi zote duniani zitafeli kumaliza hili tatizo.
 
Mzee baba unaumia sana kuwa bongo?unaweza hama tu sisi ndo tulivyo tuache
Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
M
broken ages
Mbona umeniquote Mimi na kunivisha tuhuma zisizokuwepo hayo maswali muulize mtoa mada sio Mimi.
 
Mkuu kama sikosei utakuwa mnyarwanda na zaidi utakuwa INTORE au UMUMOTSI . Tupe data za watu waliyopewa chakula na unawezaje kuwafungia watu ndani ya nyumba week mbili then unakuja kuwapa kilo moja ya Mchele na unga kilo moja tena na hiyo ni baada ya watu kupiga kelele wakiuliza pesa yao ya Agaciro fund.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ka Rwanda ni Kama ka mkoa tu kwa nchi zingine, how do compare?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…