Nchi ya Saudi Arabia yafungia kuvaa jezi za Barcelona FC, Ukionekana umevaa unafungwa miaka 15 jela

acha UJUAJI wewee
kiswahili hakina konsonant Q wala X we ulitaka niandikeje
"hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga"
[HASHTAG]#HappyAnniversaryToMeInJF[/HASHTAG]

He he he haya mkuu yaishe bana.
 
Nimejua kwann kiongozi wa mapinDuzi ya Kiislamu wa Iran Ayatollah khomein alisema "SAUDI'S LEADERS ARE IDIOTS"..
Na ni Monarchy government Ambayo iko Against na haki Nyingi za kibinaDam,MapinDuzi yakifanyika ktk hii State atleast Watapata AKILI..
Marekani akiona Kishanufaika vya Kutosha kwa hawa "IDIOTS" atawaanzishia chokochoko Wakichape Wao wenyewe Just As Usual
 
Hila hawa Saudi ni balaa mpka mahujaji wa Qatar no ruksa kwenda kuhiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…