Nchi ya Uchumi wa Kati US Dollar inakosekana vipi?

Nchi ya Uchumi wa Kati US Dollar inakosekana vipi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Au tuko Uchumi wa Kati kisiasa maana hii Dunia ina Wahuni kila kona

Ukiona Wabunge wa CCM wanalilia kuadimika kwa US Dollar Ujue hali ni tete

Niishie Hapo

Kwako FaizaFoxy 😂🔥🐼
 
Dollar hailimwi kama karanga, inapatikana kwa kuuza vitu nje ya nchi.

Sasa kama hamuuzi chochote unategemea dollar itatoka wapi?

Hii nchi haiwezi kuendelea chini ya uongozi wa hawa jamaa. Haiwezekani.
 
Kimsingi tulirudi uchumi wa chini toka mwendazake aende zake!! Uchumi wa kati tulionjeshwa tu sasa hivi hatuko huko, tuko kundi la zimbabwe
 
Dollar hailimwi kama karanga, inapatikana kwa kuuza vitu nje ya nchi.

Sasa kama hamuuzi chochote unategemea dollar itatoka wapi?

Hii nchi haiwezi kuendelea chini ya uongozi wa hawa jamaa. Haiwezekani.
Kwa nchi yetu kama hujui tatizo likowapi utateseka sana , hata ukihamisha federal reserve ya marakani hapa kwetu baada ya miezi 8 kutakuwa hamna dolla pia
 
Kwani ni lini tumewahi kufika huo middle class economy?
 
Dollar hailimwi kama karanga, inapatikana kwa kuuza vitu nje ya nchi.

Sasa kama hamuuzi chochote unategemea dollar itatoka wapi?

Hii nchi haiwezi kuendelea chini ya uongozi wa hawa jamaa. Haiwezekani.
Hata uuze kila unachoweza nje ulete dola milioni 10 nchini wahuni watazikomba zote, Kuna mchezo unaendelea usipopatiwa ufumbuzi soon nchi itashindwa kujiendesha. Bado kitambo kidogo sana.
 
Mentality tu ya kudhani na kutegemea Dollar (Sarafu ya Mwingine) katika maendeleo yao au kuwa kikwazo cha maedeleo yako ni kwamba utakuwa ushafeli hata kabla haujaanza; (You will always play a second fiddle)
 
Back
Top Bottom