johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa nchi yetu kama hujui tatizo likowapi utateseka sana , hata ukihamisha federal reserve ya marakani hapa kwetu baada ya miezi 8 kutakuwa hamna dolla piaDollar hailimwi kama karanga, inapatikana kwa kuuza vitu nje ya nchi.
Sasa kama hamuuzi chochote unategemea dollar itatoka wapi?
Hii nchi haiwezi kuendelea chini ya uongozi wa hawa jamaa. Haiwezekani.
Hata uuze kila unachoweza nje ulete dola milioni 10 nchini wahuni watazikomba zote, Kuna mchezo unaendelea usipopatiwa ufumbuzi soon nchi itashindwa kujiendesha. Bado kitambo kidogo sana.Dollar hailimwi kama karanga, inapatikana kwa kuuza vitu nje ya nchi.
Sasa kama hamuuzi chochote unategemea dollar itatoka wapi?
Hii nchi haiwezi kuendelea chini ya uongozi wa hawa jamaa. Haiwezekani.