Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
Uko sahihi kabisaTatizo la nchi hii ni wananchi siyo viongozi.
Thamani ya mtanzania ni shilingi elfu kumi, tisheti, kofia, na wali maharage.Huwezi kuwa mjinga kiasi hiki
Inatia sana hasira ukijua haya mambo tumekuwa tukiyavumilia miaka na miakaThamani ya mtanzania ni shilingi elfu kumi, tisheti, kofia, na wali maharage.
Tatizo la nchi hii ni wananchi siyo viongozi.