SoC04 Nchi yangu

Tanzania Tuitakayo competition threads

KAGARUKI 2

New Member
Joined
May 23, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Tanzania ni nchi yenye zaidi ya watu millioni 60 Kwa mjibu wa sensa iliyofanyika 2023 pia ni nchi yenye makabila zaidi ya 120 yenye lugha tofauti tofauti lakini yanaunganishwa na lugha Moja ambayo ni lugha ya Taifa nayo n kiswahili bila kusaau kuwa ni nchi iliyobalikiwa rasimali nyingi na utajili mkubwa ikiwemo utajili wa aridhi yenye rutuba, madini na Amani

Miundombinu.
Tanzania tuitakayo inabidi iwe imeimalika kwenye sekita ya miundombinu ili kuwezesha usafirishaji wa raia na mali zao kutoka sehemu moja Kwenda nyingine. Maisha ya watanzania yanategemea sana usafiri kutoka sehemu moja Kwenda nyingine Kwa ajili ya kutafuta riziki kwamfano Dar es salaam watu wanategemea sana usafiri ili kufikia eneo la kazi

Afya
Kama tunavyo fahamu afya ndio mtaji wa kwanza wa binadamu hivyo basi Tanzania tuitakayo inabidi iwekeze sana kwenye afya asa afya ya akili, pia raia wake wapewe bima ambazo zitawawezesha kupata matibabu bule maana kadili mda unavyo Kwenda gharama za matibabu zinaongezeka kwaiyo watanzania waliowengi hawatoweza kuzimudu

Techinologia
TAnzania tuitakayo inabudi kuwekeza sana nguvu kwenye techinologia Kwa Kila raia kuanzia mashuleni kwasabubu Dunia siku hizi imetawaliwa na techinologia ambayo inapunguza nguvu kazi kwenye makampuni kutokana na utengenezaji wa maroboti na mfumo wa AI na CHART GPT

Mazingira
Mazingira ni vitu vyote vinavyo vinavyo zunguka viumbe hai, hivyo basi Tanzania tuitakayo inabidi kuwekeza kwenye kulinda mazingira kupitia kutoa elimu na nyenzo zitakazotumika kulinda mazingira Kwa mfano kugawa mitungi ya gas Kwa wananchi ili kupunguza matumizi ya mkaa na kuni, upandaji miti Kila mwisho wa mwezi Kila mkoa kama wanavyofanya shirika la habari Tanzania TBC. Pia ziwekwe Sheria za utunzaji mazingira mijini asa maeneo ya masoko

Elimu
Kama tunavyo fahamu elimu ni ufunguo wa maisha Tanzania tuitakayo inabidi iwekeze kwenye kutoa elimu bule kuanzia ngazi ya msingi adi vyuo vikuu, pia elimu ya watu wazima na na elimu ya jamii kwamfano elimu ya afya ya akili, unyanyasaji wa kijinsia


Uchumi
Tanzania tuitakayo inabidi iwekeze kwenye nyanja ya uchumi Kwa kuakikisha raia wake wote wanaishi kwenye matumizi ya siku yasiyopungua dola mola na hii itatokana na matumizi sahii ya rasimali nyingi tulizobalikiwa na Mungu




Mwisho, Tanzania tuitakayo ilikuweza kufikia maleongo yafutatayo inabidi yatekelezwe ,uongozi bora, maono,usimamizi Bora rasimali za taifa
 

Attachments

  • Screenshot_20240519-154843.png
    1.1 MB · Views: 2
  • Screenshot_20240524-111738.png
    769.4 KB · Views: 2
Upvote 2
Yaaas ni lazima tujiendeleze kuenda a na teknolojia maana hata kama kuna kazi zitafutika. Kuna nyingine zinazaliwa. Ma hapa duniani kila kiumbe anapaswa kubadilika kuendana na mazingira au atapotea mazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…