Nchi yenye dhiki na taabu kupindukia, Wakenya waanza kuwakimbia watoto wao

Nchi yenye dhiki na taabu kupindukia, Wakenya waanza kuwakimbia watoto wao

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Mke na Mume Katika Kijiji cha Kiaruhiu Kaunti ya Nyeri wamewashangaza wengi kwa kuamua kupeana watoto wao wawili, kwa yeyote yule, baada ya kile wanadai ni kushindwa kukimu gharama za malezi ya watoto hao kutokana na hali ngumu ya maisha.



=======

MY TAKE: Huu ni mwanzo tu, mengi zaidi yanakuja, kaeni mkao wa kula.
 
Hivi KENYA ni nchi inayomilikiwa na KENYATTA mbona imepewa jina linaloanzia na jina lake???

KENYA------KENYATTA 🤣
 
Huo ni uamuzi wao tu km wale wanaowanywa supu albino.

Kwhyo usimpangie mtu na chake
 
Back
Top Bottom