Nchi yetu ilikuwa inaitwa AZANIA

Nchi yetu ilikuwa inaitwa AZANIA

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Nimepata baadhi ya habari na ramani kuhusu hapo kale nchi yetu ilikuwa inaitwaje hii isue ya Tanganyika au zanzibar yamekuja tu.

Nimeweka baadhi ya ramani mwenye uelewa zaidi.

Map_of_the_Periplus_of_the_Erythraean_Sea.jpg


Azania_Africa.jpg


South Africa is not Azania! | TIA MYSOA

Electronic Antiquity v1n5 - Peoples of Azania

Ilikuwa inaitwa Azania wakati wa Utawala wa Kirumi.

Mwenye maelezo zaidi
 
Tanzania, Uganda, Burundi, Rwanda Kenya Zanzibar hazikuwepo.
 
Wakati wa utawala wa mirumi
 
Tatizo Ni kuwa hakuna kilichoandikwa (Kwa lugha ya kutambulika tuliyonayo sasa) kuhusu maeneo haya kabla ya kuja Kwa wazungu. Warumi waliita hivyo, je, Machifu, Watemi waliyaitaje maeneo Yao ya utawala hasa wale ambao walikuwepo kabla ya kuja Kwa wazungu karne ya 7 na kuendelea? Wote wazungu, waarabu na wahindi Ni wahusika wakuu wa kupotosha na kuharibu nchi/maeneo yetu waafrika. Ubinafsi wao katika hili hauyumbi mpaka sasa maana kwao muafrika (mtu mweusi) Ni wa daraja la mwisho tu.

Hongera Kwa kujielimisha.
 
Ndiyo. Rumi ilitawala Dunia mkuu. Hili halina ubishi.

Na kwa manufaa ya watu wengi wanaotaka kujua ukweli wa mambo unaweza ukasoma
[h=1]The Periplus of the Erythraean Sea [/h]Hii inaeleza mambo mengi sana kuhusu Azania.
 
[h=1]What is the Periplus of the Erythraean Sea?[/h]
In many cases, the description of places is sufficiently accurate to identify their present locations; for others, there is considerable debate. For instance, a "Rhapta" is mentioned as the farthest market down the African coast of "Azania", but there at least five locations matching the description, ranging from Tanga to south of the Rufiji River delta. The description of the Indian coast mentions the Ganges River clearly, yet after that is somewhat garbled, describing China as a "great inland city Thina" that is a source of raw silk.





What is the Periplus of the Erythraean Sea? - Yahoo Answers
 
Africa mwaka -600 Greek map
Africa year -60.jpg
 
dunia ya mashariki ya kati,ulaya na kaskazini mwa africa lakini sio dunia yote.
Walitawala dunia ndugu. Ukitaka kujua kuwa walitawala tafuta maelezo kuhusu Periplus. Utaona jinsi walivyokuwa wakizunguka duniani kote. Hapa tunaongelea Azania tu peke yake.
 
Naona Ethiopia ilikuwa West africa...........sijui ilipaa vipi kuja huku kwetu!
Hapana. Rangi yote nyeupe ni Ethiopia au unaweza kusema Aethiopia (Ikimanisha kusini kwa lugha ya kigriki au ulimwengu wa watu weusi kwahiyo nchi zote baada ya Libya misri na Kudh empire kusini zilikuwa zinaitwa Aethiopia .
 
Walitawala dunia ndugu. Ukitaka kujua kuwa walitawala tafuta maelezo kuhusu Periplus. Utaona jinsi walivyokuwa wakizunguka duniani kote. Hapa tunaongelea Azania tu peke yake.
king Napoleon sie alieshindwa kuiteka moscow?na ndo ukawa mwanzo wa kuanguka kwa roman empire?...kipindi hicho hata kule asia walikuwepo akina genkhis khan,china na japani zilikua na empire zao pia.
 
nimepata baadhi ya habari na ramani kuhusu hapo kale nchi yetu ilikuwa inaitwaje hii isue ya tanganyika au zanzibar yamekuja tu.

Nimeweka baadhi ya ramani mwenye uelewa zaidi.



View attachment 123729


View attachment 123731


south africa is not azania! | tia mysoa

electronic antiquity v1n5 - peoples of azania

ilikuwa inaitwa azania wakati wa utawala wa kirumi.

Mwenye maelezo zaidi

mimi nashauri hata kama zanzibar wakijitoa tanganyika iendelee kuitwa azania kwasababu tutachukua tan- kutoka kwenye neno tanganyika then zania itakamilisha kwa kuongeza kutoka neno azania.
 
nchii hii inayozungumzwa hapa ni ipi ni, Tanganyika? ama ipi? azania hii iliitwa hivyo na watu wake au hao waandishi mnaowataja nyinyi wa periplus of the erythrean.ni uhakika upi unaoupata kuwa jina hilo ni la watanganyika wenyewe na sio la wa Arab.hata hivyo nchi hizi hazikuwa na mipaka bali machifu na watemi walitenga maeneo yao na kuish na raia wao.ukweli ni kuwa mtu wa kagera alikuwa karibu zaidi na mganda kuliko mmakonde wa mtwara iwapo azania ilifuata misingi ya kurandana na kushirikiana katika kuigawa mipaka yake basi temi na falme nyingi za kitanganyika hazikuwa sehemu ya hiyo azania.bado sote twajifunza labda tujiulize iliongozwa na nani? watu wake walikuwa na desturi gani kwa kuwa yawezekana hilo ni jina lilikuwa ni la general kwa huku southern part of Africa na hata hivyo hilo ni jina laki Arab bado sio lakikwetu nahisi makaburi ya babu zetu ndio yanaukweli khusu hili sio vitabu vya watu weupe
 
Back
Top Bottom