Wakati wa utawala wa mirumi
dunia ya mashariki ya kati,ulaya na kaskazini mwa africa lakini sio dunia yote.Ndiyo. Rumi ilitawala Dunia mkuu. Hili halina ubishi.
Walitawala dunia ndugu. Ukitaka kujua kuwa walitawala tafuta maelezo kuhusu Periplus. Utaona jinsi walivyokuwa wakizunguka duniani kote. Hapa tunaongelea Azania tu peke yake.dunia ya mashariki ya kati,ulaya na kaskazini mwa africa lakini sio dunia yote.
Hapana. Rangi yote nyeupe ni Ethiopia au unaweza kusema Aethiopia (Ikimanisha kusini kwa lugha ya kigriki au ulimwengu wa watu weusi kwahiyo nchi zote baada ya Libya misri na Kudh empire kusini zilikuwa zinaitwa Aethiopia .Naona Ethiopia ilikuwa West africa...........sijui ilipaa vipi kuja huku kwetu!
king Napoleon sie alieshindwa kuiteka moscow?na ndo ukawa mwanzo wa kuanguka kwa roman empire?...kipindi hicho hata kule asia walikuwepo akina genkhis khan,china na japani zilikua na empire zao pia.Walitawala dunia ndugu. Ukitaka kujua kuwa walitawala tafuta maelezo kuhusu Periplus. Utaona jinsi walivyokuwa wakizunguka duniani kote. Hapa tunaongelea Azania tu peke yake.
nimepata baadhi ya habari na ramani kuhusu hapo kale nchi yetu ilikuwa inaitwaje hii isue ya tanganyika au zanzibar yamekuja tu.
Nimeweka baadhi ya ramani mwenye uelewa zaidi.
View attachment 123729
View attachment 123731
south africa is not azania! | tia mysoa
electronic antiquity v1n5 - peoples of azania
ilikuwa inaitwa azania wakati wa utawala wa kirumi.
Mwenye maelezo zaidi