Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Huku walimu wamebakia kiwabebesha watoto wetu midaftari kibao! Mtoto yupo Darasa la nne madaftari 14....cha maana hamna!Mfumo wa kielimu hapa bongo aise bado tupo nyuma sana. Kuna baadhi ya vitu kwa tulipo Sasa tutaendelea kusikia tu kwa wenzetu.
Kuna video nimejaribu kuziona za wenzetu huko nje, wakionesha vifaa vya kivita. Kwa kweli sidhani kama kwa mfumo huu wa kuchora panzi, na kutafuta GPA vyuoni kama tutafika huku.
Jambo la kijinga sana huu mfumo wa kuandika especially kwa ngazi za juu sioni umuhimu wake Watoto wanatakiwa wasome kutoka vyanzo mbalimbali kama Vitabu na internet wapate conceptHuku walimu wamebakia kiwabebesha watoto wetu midaftari kibao! Mtoto yupo Darasa la nne madaftari 14....cha maana hamna!
Elimu ya vitendo na inayomruhusu mwanafunzi kuwa mbunifu, mdadisi nkElimu ipi sasa, tuachane na mfumo tutawaonea bure !
Tujadili hio elimu ipo ? Inafanyikaje ? Mazingira ni conducive? ukitoka hapo tuanze na mfumo sasa