Nchi yetu Omari’s huruma, tunategemea sana hawa wataalamu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438

Don’t za ubunge zinafanyiwa mazingaombwe ili zikatende maajabu. Kama Yale mazingaombwe yaliyofanywa kwenye pilau kule Tanga, nyama choma Arusha na uji wa lishe pale Darisalama.

Kama tunategemea tekinolojia hii, ni kheri kusiwe na uchaguzi tutangazane tu kutokana na Tamil za wazee wa busara. Tunapoteza mapesa mengi sana wakati njia za mkato zipp.
 
Wanaenda kupikwa kwanza Ahaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…