Nchi Yetu


CHADEMA nao wezi mdogo wangu.Hujaushtukia mchezo????
 
kama sio hao wezi wa CCM akina RA, EL na JK, kwani ndiye mwenye mamlaka ya kukataa kula au la.

Hapana Mkuu, tatizo siyo JK, EL, RA...hata kidogo...tatizo ni CHAMA CHA MAPINDUZI, hakina mpya...JK akiondoka leo madarakani CCM ikibaki, hali itakuwa hivyo hivyo, nyika tupu hakuna litakalokuwa...tatizo pia wananchi...mimi nikiona maelfu kwa maelfu ya watu wamejazana wanamsikiliza mgombea wa CCM kwenye mkutano, tumbo huwa linansokota napata kama homa vile, najiuliza hivi hawa watu wana miili ya chuma?
Mbona mimi nahisi maumivu ya njaa, maradhi na ujinga, wao wenzangu hawayaoni? kama wanayaona hawajuwi haya yanasabishwa na nini? kwanini bilisi mbaya halafu unamwabudu...? labda kweli bilisi (CCM) mbaya lakini mapambao yake (ahadi za uwongo) mazuri
 

The best thing that people have is feeling satisfied for what they have and appreciating it and on top of that,a hope that with the government and the party they love they'll get there.
 
Halafu wazungu wakija wakijidai kuwa wawekezaji CCM inawafukuza raia kwenye maeneo yao waliyoyazoea na kuwapa wazungu eti ni
wawekezaji. Ndiyo CCM hiyo.
 
Intellectual failure.
Ekari 500 zote zangu najiandaa kustahafu, hata kama hukai huko eti wewe ni mpenda nchi au ni mponda nchi Chukua chako mapema bado wamelala siku itafika mtajuta, tutayachukua mashamba na mastedium na mtamkumbuka Baba wa Taifa.
 
mi naumwa sana napoona watz wenzangu wakisikilza sera za shetani ccm na wafuasi wake hasa huyo JK daaa maisha bora kwa kila mtanzania kweli ni bora liende kajamaa kenyewe maisha bora kwani kamesafiri duniani koote mpaka kameanza kurudiarudia safari hii kakishinda kataenda mwezini na sayari ya maris huku duniani kamemaliza nafikiri huyu jamaa alitamani sana kuwa rais ili afanye safari za hapa na pale daaa ni bora kangetuachia maisha yetu yaleyale ya siku zote kuliko haya bora ccm na viongozi wake wamegawana nchi yoote wanafanya wanavyotaka tena walivyo washenzi wanawaandaa na watoto wao waje wawe mafisadi wa baadae si mmeona jamani akina January Makamba, Ridhiwani Kikwete, mtoto wa mzee mwinyi sasa ni waziri jamani watz hamuoni tuamke jamani
 

Ilani ya chama ipo hapa JF,ila si mbaya pia nikikuwekea link yake ina era zoteeeeee unazotaka kujua.Hapa http://www.ccmtz.org/ilani/ilani.pdf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…