Nchi za Africa Mashariki na SADC, kutopeleka wagonjwa India kwa matibabu, Tanzania inaweza yote.

Nchi za Africa Mashariki na SADC, kutopeleka wagonjwa India kwa matibabu, Tanzania inaweza yote.

Wakenya msiseme hatukuwaambia kuhusu hili, sababu pekee itakayowapeleka India ni ili kulipwa "per diem", karibuni sana.

Mmmh
Kwa madaktari wapi?
Acheni kudanganya watu
Wagonjwa wananyanyasika sana kwenye hizi hospitali
Lugha chafu toka kwa wauguzi
Hakuna dawa wala vifaa
 
Mmmh
Kwa madaktari wapi?
Acheni kudanganya watu
Wagonjwa wananyanyasika sana kwenye hizi hospitali
Lugha chafu toka kwa wauguzi
Hakuna dawa wala vifaa
Hahahaha, pole sana.
 
Hivi wale madaktari walimpasua kichwa mgonjwa na miguu bado wapo Muhimbili
 
Mmmh
Kwa madaktari wapi?
Acheni kudanganya watu
Wagonjwa wananyanyasika sana kwenye hizi hospitali
Lugha chafu toka kwa wauguzi
Hakuna dawa wala vifaa

Msikilize vizuri mkurugenzi wa Hospitali ya Ocean Road. Nchi inasongambele kwa kasi sana, usikubali kuendelea kufikiria kizamani, futa hizo Apps. Za kizamani, update your brain.
 
Naona uzi wako unaangukia pua

Another thread turning back on you[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Siku hizi uko na shida kweli.
 
OMG! Now is when you are doing kidney transplants. Mbagathi county hospital under nairobi county government has been doing that since last year and KNH (Kenyatta national hospital) for over 20 years. We also have MP shah hospital since february last year. We also do kidney dialysis and radiotherapy across all county referral hospitals. I see you buy anything your government says. But good for you to have it now, it will help your citizens. Kenya we are sorted.
 
KNH does first paediatric kidney transplants
August 30, 2013 2:56 pm

NAIROBI, Kenya, Aug 30 – The country’s first paediatric kidney transplants have been successfully carried out giving two girls and two boys aged between 13 and 17 a new lease of life and perhaps increasing hope for other Kenyan patients with renal failure.

The four transplants were performed on Thursday at the Kenyatta National Hospital (KNH) bringing to total the number of transplants done in the country to 99 after the first transplant in 1978.
 
Mmmh
Kwa madaktari wapi?
Acheni kudanganya watu
Wagonjwa wananyanyasika sana kwenye hizi hospitali
Lugha chafu toka kwa wauguzi
Hakuna dawa wala vifaa
The country has only two cancer hospitals, with the main one, ORCI, located in the capital, Dar es Salaam. Approximately 150 outpatients are attended to at ORCI, on a daily basis. At the institute, it is estimated that about 90 percent of the patients arrive when it's too late for a cure
 
OMG! Now is when you are doing kidney transplants. Mbagathi county hospital under nairobi county government has been doing that since last year and KNH (Kenyatta national hospital) for over 4 years. We also have MP shah hospital since february last year. We also do kidney dialysis and radiotherapy across all county referral hospitals. I see you buy anything your government says. But good for you to have it now, it will help your citizens. Kenya we are sorted.
Hahahaha, hahahaha, hahahaha.

1)We are doing open Heart surgery over 1000 pts. Per year

2)We treat at least 50,000 cancer patients per year, free of charge

3)We are doing Cochlear transportation, Kenya will never perform this complicated surgery in your public Hospitals, at least in twenty years from now.

4)We are removing blood clots and tumours from the brain without opening skull, this service is only available in Tanzania, not other country in Africa can.

5)We are starting Liver and bone marrow transplants soon

Karibuni sana.
 
Wakenya msiseme hatukuwaambia kuhusu hili, sababu pekee itakayowapeleka India ni ili kulipwa "per diem", karibuni sana.

Uganda Cancer Institute (UCI) is a public, specialized, tertiary care medical facility owned by the Uganda Ministry of Health. The facility is located along Upper Mulago Hill Road, on Mulago Hill, in the Kawempe Division of Kampala, about 4.5 kilometres (2.8 mi) northeast of the central business district of the city
 
Mmmh
Kwa madaktari wapi?
Acheni kudanganya watu
Wagonjwa wananyanyasika sana kwenye hizi hospitali
Lugha chafu toka kwa wauguzi
Hakuna dawa wala vifaa

😁😂🤣
Pakawa bhana, uwe unajiangalia na urembo wako. Mbona mawazo yako muda wote yako hasi na serikali?
Binafsi sikatai ya kuwa serikali haina mapungufu, lkn pia napinga ya kuwa hakuna zuri hata moja ambalo serikali imefanya.
Siku zote balanced view ndiyo inayofanya kuwa na harmony.
 
Hahahaha, hahahaha, hahahaha.

1)We are doing open Heart surgery over 1000 pts. Per year

2)We treat at least 50,000 cancer patients per year, free of charge

3)We are doing Cochlear transportation, Kenya will never perform this complicated surgery in your public Hospitals, at least in twenty years from now.

4)We are removing blood clots and tumours from the brain without opening skull, this service is only available in Tanzania, not other country in Africa can.

5)We are starting Liver and bone marrow transplants soon

Karibuni sana.
If you had done those you would not be so excited about kidney transplants that Kenya has done since 1970's. I know you(Tanzanians) like blowing a lot of hot air just like the lady in that video who lied to you all that all eac will come for kidney transplants in Tanzania. You get excited about clinical issues while our county hospitals outperform your biggest hospital. Please read the links below.

The twins shared a spinal cord, rectum, anus, some muscles, subcutaneous tissues and skin. Paediatric, neuro and plastic surgeons agreed that separation was feasible but it should wait until the twins were bigger to withstand the complex surgery.

A University of Nairobi plastic surgery resident created a 3D model of the twin’s pelvis to map the surgery.

file-20170619-12416-1hags0s.jpg
A three-dimensional (3D) impression of the twins conjoinment. Kenyatta National Hospital.
 
Back
Top Bottom