Nchi za Afrika Mashariki zasalimu amri kwa Marekani. Sasa mitumba ruksa!

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
East African countries have backed down on their initial stand on banning the importation secondhand clothing. Instead they will use of tax measures and incentives to spur local manufacturing.

During the EAC Heads of State retreat on infrastructure and health financing in Kampala, the EAC presidents resolved to prioritise the development of a competitive domestic textile and leather sector to provide affordable clothes and leather products in the region.

β€œPartner states should now focus on boosting the EAC textile and footwear manufacturing in the region through measures that will not jeopardise the African Growth and Opportunity Act (Agoa) benefits,” said the presidents in a joint statement.

The heads of state further directed the Council of Ministers to put in place mechanisms that support textile and leather manufacturing in EAC, and report progress in the next Summit.

They also directed the Secretariat to request the US to give the bloc more time to finalise consultations to address Washington’s concerns on used clothes imports.
 
Yote hii kuwalea na kuwafuta machozi Wakenya, anyway ni sisi wananchi kuamua kutokununua hiyo mitumba (inawezekana). Ndio maana Kagame hakutokea kwenye mkutano, alisha kataa mitumba katakata.
 
Hii taarifa imepikwa na mkenya ili kufuta aibu yao, sio kweli kwamba wamebadilisha msimamo, ila wamiomba Marekani iwape muda ili wajiridhishe na kuangalia kama concerns za USA zinaweza kuwa addressed, mbona hata EPA tuliomba muda, tena wa zaidi ya miaka miwili sasa lengo ni kawasaidia wakenya lakini mijitu yenyewe ina roho mbaya haisaidiliki
 
Yote hii kuwalea na kuwafuta machozi Wakenya, anyway ni sisi wananchi kuamua kutokununua hiyo mitumba (inawezekana). Ndio maana Kagame hakutokea kwenye mkutano, alisha kataa mitumba katakata.

Na umaskini wote huo mtasusia vipi, hivi mlifikia wapi kwenye viwonder vya cherehani.
 
Sasa itakuwaje wakati huo huo tayari kuna wawekezaji walikuwa wakiongea na waziri mkuu kuhusu uzalishaji wa nguo nchini na mpango wakuzuia mitumba ili kutenengeneza mazingira wezeshi
 
Na umaskini wote huo mtasusia vipi, hivi mlifikia wapi kwenye viwonder vya cherehani.
Kila mara nakuambia Kenya hamjuwi nini maama ya muungano, hichi kilichotokea ni dhahiri kinakuonyesha nchi gani zinajali muungano. Tumetoa nafasi kwa nchi kama Kenya kulinda maslahi yake, kama tungekataa hiyo mitumba ni Kenya ndio ingepata hasara sio TZ UG wala RW.
 
Walivo waoga yaani wameshindwa hata kustahimili kwa miezi mingine kadhaa? Kumbe kuna dawa ya madikteta pia? πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kagame, museveen na magufuli wote wamebwagwa na Trump
 
Sio kama mngekataa, tayari mlikataa na kuthubutu kutunisha misuli, ikabidi mngurumiwe na kuufyata.
 
Sio kama mngekataa, tayari mlikataa na kuthubutu kutunisha misuli, ikabidi mngurumiwe na kuufyata.
Maamuzi yalikuwa sio kutokana na kauli ya Marekani, maamuzi yalikuwa kulinda mlo wa wakenya, dola nusu bilioni ingeingia mchanga.
 
Wala usijisumnue kuhangaika na baadhi ya wakenya, akili hamna kabisa, hao wakenya ndiyo wanaolalamikia Tanzania kugomea kukataa kuweka saini katika EPA, hadi leo tumekataa, kule wanasema tunataka kuhujumu uchumi wa Kenya, tukikubali wanasema hatuna ubavu wa kuwakatalia wazungu, hivi unadhani kwanini wakenya wenyewe kwa wenyewe hawapatani?, baadhi yao ni watu wa hovyo kupita maelezo.

Ila katika hili, kama ilivyokuwa katika EPA, kamwe Tanzania haitorudi nyuma, tumeingia mkataba na China kuja kuwekeza katika viwanda vingi sana vya nguo, tuliahidi kuvilinda dhidi ya nguo za mitumba, Magufuli sio mtu wa kuyumbishwa kama Uhuru Kenyatta, alikataa EPA, na hili la mitumbo amelikataa, akisema No, jua ni No.
 
Wepesi kupiga kelele mambo yasipokwenda vile wanayotaka bila kuangalia hasara za mbeleni na ni nani atapa hizo hasara. Wanafurahi kuexport nguo mpya Marekani halafu wao wanavaa mitumba, hela ya AGOA inaishia kwemye mifuko ya wakubwa.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kagame, museveen na magufuli wote wamebwagwa na Trump
Madikteta uchwara wamebanwa hadi kikaeleweka, anaitwa mchizi POTUS! Hahaha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sio kama mngekataa, tayari mlikataa na kuthubutu kutunisha misuli, ikabidi mngurumiwe na kuufyata.
Wameshageuza stori jombaa, sasa wanasema ni wao wameamua wenyewe. Sasa sijui ile marufuku yao ya awali ndo ilikuwa ni maigizo kwenye bongo movie? πŸ˜€ Kujaribu kuweleza jambo lingine itakuwa ni sawa tu na kupuliza gunia.
 
Na umaskini wote huo mtasusia vipi, hivi mlifikia wapi kwenye viwonder vya cherehani.
Unauliza? Mafundi wote walipata tuajali nyeti baada ya kushona viganja vyao vya mikono kwenye cherehani. Wapo livu mikoani. Watarudi hivi karibuni! πŸ™‚
 
ina roho mbaya kuzidi cc ambao tunafanyiana roho mbaya wenyewe kwa wenyewe
 
Wameshageuza stori jombaa, sasa wanasema ni wao wameamua wenyewe. Sasa sijui ile marufuku yao ya awali ndo ilikuwa ni maigizo kwenye bongo movie? πŸ˜€ Kujaribu kuweleza jambo lingine itakuwa ni sawa tu na kupuliza gunia.

Ndio zao hao, wananikumbusha kipindi nikiwa mdogo, ilikua nikiona kama upo mkubwa zaidi yangu na nina ugomvi nawe, basi nakuambia nimekusamehe, ila ukweli wa mambo ni kwamba nimeogopa utanipa kichapo.
 
pamoja na shida zetu natamani tungegoma mpaka mwisho potelea mbali bana.
tabu watu wengi hatupendi shida na hatupo tayari tuumie kwa ajili ya vizazi vijavyo tunafikiri haya mataifa makubwa hapo walipo walifika kirahisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…