Nchi za Afrika zenye intaneti ya Starlink na zile zinazotarajia kupata intaneti ya Starlink 2025

Nchi za Afrika zenye intaneti ya Starlink na zile zinazotarajia kupata intaneti ya Starlink 2025

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
CountryEstimated availability date
AlgeriaNo planned launch date
AngolaDelayed to 2025
BeninAvailable
BotswanaAvailable — added in 2024
Burkina FasoDelayed to 2025
BurundiAvailable — added in 2024
Cabo VerdeQ4 2024
CameroonDelayed to 2025
Central African RepublicNo planned launch date
ComorosDelayed to 2025
ChadDelayed to 2025
Democratic Republic of CongoDelayed to 2025
DjiboutiNo planned launch date
EgyptChanged to no planned launch date
EritreaNo planned launch date
Eswatini (formerly Swaziland)Available — added in 2024
EthiopiaNo planned launch date
Equatorial GuineaDelayed to 2025
GabonDelayed to 2025
GambiaDelayed to 2025
GhanaAvailable — added in 2024
GuineaDelayed to 2025
Guinea-BissauDelayed to 2025
Ivory CoastDelayed to 2025
KenyaAvailable
LesothoDelayed to 2025
LiberiaQ4 2024
LibyaNo planned launch date
MadagascarAvailable — added in 2024
MalawiAvailable
MaliNo planned launch date
MauritaniaDelayed to 2025
MauritiusDelayed to 2025
MozambiqueAvailable
MoroccoChanged to no planned launch date
NamibiaDelayed to 2025
NigeriaAvailable
NigerDelayed to 2025
Republic of CongoDelayed to 2025
RwandaAvailable
São Tomé and Príncipe2024
SenegalDelayed to 2025
SeychellesDelayed to 2025
Sierra LeoneAvailable — added in 2024
South AfricaNo planned launch date
South SudanNo planned launch date
SomaliaNo planned launch date
SudanNo planned launch date
TanzaniaDelayed to 2025
TogoDelayed to 2025
TunisiaDelayed to 2025
UgandaDelayed to 2025
Western SaharaChanged to no planned launch date
ZambiaAvailable
ZimbabweAvailable — added in 2024
 
Hii kitu inabidi tuijadili kwa upana pros and cons
Faida na hasara za starlink kwa nchi za Afrika
 
Kitu kama kinafaida zaidi ndo kizuri,hata Kama kinatoka nje ya nchi,, vinginevyo tuachane na teknolojia zao,tujitengenezee zetu!!,hao jamaa wakiamua kukuspy ni dk sifuri tu,
Yaani hapo watakua wanauwezo wa kuona wabongo wanapendelea website gani, ni muda. Gani wapo active na wanatumia masaa mangapi online. Na kukusany taarifa zote kumpa Mzungu aone cha kufanya kuendana na data hizo
 
Waafrica wenyewe wanawakubali sana wazungu mkuu, mzungu wala hatumii nguvu kiivo. Kama kuna mtu wa kumuelimisha ni muafrica mwenyewe
 
Wazee wa world order 🤣
Ukiwa bongo unaona poa tu. Mimi niko Dallas. Huku Marekani ndo unaona uzito wa wanachokifanya.

Sasa tuchukulie mfano BOT au TRA wakianza kutumia na wenyewe Starlink. Wanauwezo wa ku spy na kusurvey data za nchi husika kirahisi na kuwapa wazungu information za nchi hio. Ndo maana kila nchi walikuwa na mtandao wa simu ili kudhibiti mashambulio ya kiteknolojia. Sema ndo hivyo TTCL haikotoboa.

Unazani kwanini Tiktok china wamezuia baadhi ya maudhui ili rika fulani lisione wakati mataifa mengine wanatuwekea content za hovyo ili vijana waharibike

Nazan umeona baada ya Elon Musk kuinunua twitter sahivi na kua X. Maudhui ya ngono/ porn yamezidi na jamaa hazuii maana ndo sehemu ya ku promote ushoga na kuharibu under 18
 
Waafrica wenyewe wanawakubali sana wazungu mkuu, mzungu wala hatumii nguvu kiivo. Kama kuna mtu wa kumuelimisha ni muafrica mwenyewe
😁wanavyo spy na survey kupitia internrt

Kama wewe umezoea kuangalia content za kimichezo basi nawao wata detect kuwa ndo unachokipenda. Basi kila sehemu utakapo ingia utakuwa unaletewa zile adsence zinazohusu michezo. mfano unakuta instagram ile sehemu ya Reels au search imejaa content za michezo. Sasa ukute jnapendelea umbea na nyash kubwa utajaziwa hizo content popote unapoenda.
 
Ukiwa bongo unaona poa tu. Mimi niko Dallas. Huku Marekani ndo unaona uzito wa wanachokifanya.

Sasa tuchukulie mfano BOT au TRA wakianza kutumia na wenyewe Starlink. Wanauwezo wa ku spy na kusurvey data za nchi husika kirahisi na kuwapa wazungu information za nchi hio. Ndo maana kila nchi walikuwa na mtandao wa simu ili kudhibiti mashambulio ya kiteknolojia. Sema ndo hivyo TTCL haikotoboa.

Unazani kwanini Tiktok china wamezuia baadhi ya maudhui ili rika fulani lisione wakati mataifa mengine wanatuwekea content za hovyo ili vijana waharibike

Nazan umeona baada ya Elon Musk kuinunua twitter sahivi na kua X. Maudhui ya ngono/ porn yamezidi na jamaa hazuii maana ndo sehemu ya ku promote ushoga na kuharibu under 18
Mkuu tra na bot hata starlink ikija hawawezi wakaitumia,

China kuzuia maudhui tiktok. Ni kua anajielewa na anajivunia tamaduni zake.
So hizi nchi zingine hakuna anayetuzuia mkuu.

Suala la twita, kuachia sana pilau hilo ni jambo la muda mrefu tu lipo hivohivo. Labda kidogo ukisema miezi hii karibuni naweza kukubaliana na wewe kwamba algo Inaweza kua na shida.

Suala la kupromote hayo mambo lipo subjective , wewe upo dallas sjui kwa uko ila kwa uku TZ hawa vijana wetu wenye engagement kubwa kubwa kikawaida hupenda sana kushadadia hiyo mijadala hivi hapo anayepromote ni nani?

Solution hapa ni sisi wananchi kuacha fagilia sana lifestyle za wazungu mkuu, ila tukiendelea kila siku kua mashabiki wakuu alafu tunalalamika wazungu wanania ovu na sisi mimi naona shida ni sisi. Kama hizo twita , instagram ,tiktok, facebook zina shida tuanze kuhamasishana kuja jamiiforums kwa wingi. Muda ni sasa
 
😁wanavyo spy na survey kupitia internrt

Kama wewe umezoea kuangalia content za kimichezo basi nawao wata detect kuwa ndo unachokipenda. Basi kila sehemu utakapo ingia utakuwa unaletewa zile adsence zinazohusu michezo. mfano unakuta instagram ile sehemu ya Reels au search imejaa content za michezo. Sasa ukute jnapendelea umbea na nyash kubwa utajaziwa hizo content popote unapoenda.
Hiyo ni algorithm ni kitu kizuri mkuu, mtu anayefatilia sana motivations, atapata motivations kwa wingi, anayefata kilimo, atapata kilimo, mpira atapata mpira, teknolojia atapata teknolojia, imani atapata imani, siasa atapata siasa kwa wingi.

na vilevile unasoma sana udaku atapa udaku, pilau atapata pilau, celebrities atapata celebrities , vilevi atapata vilevi.

Waafrika tukiona tunaonewa sana tuwekeze kwenye elimu na uvumbuzi tuje na vyakwetu tutavyo vicontrol, la sivyo hizi lawama tunazozitoa ndo za kila siku hivi hivi maana huo usawa dunia hakuna. Au nasema uongo mkuu?

Tumalizie na hii youtube shorts kwa hisani ya wazungu na mtizamo wao hapo middle east

View: https://youtu.be/ImXMEq1RrrA?si=KSfta_4BZr-j62hC
 
Back
Top Bottom