Nchi za magharibi zikilaani kitendo cha Uhuru Kenyatta kufungia vyombo vya habari ,sisi tukisifu ni ni mfano wa kuigwa

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
8,271
Reaction score
9,113
Nimesoma nyuzi nyingi za wachangiaji hapa nchini kuhusiana na kuzimwa kwa vyombo vya habari wakati wa kuapishwa Raila Odinga. Wengi wakishindwa kulaani tendo hilo,

Wachangiaji wengi jukwaani walijikita kumsifu bila kuelezea kasoro hiyo.

Inasikitisha unazi wa kisiasa uliopitiliza unatufanya kuwa vipofu.
Sasa mabeberu wa kimagharibi wameliona hilo na wamelaani hatua hiyo ya Uhuru Kenyatta kufungia media hizo .
Unafiki huu ndio unaoligharimu taifa, vya vya siasa, jamii nakadhalika, tujifunze kuwa wakweli Kama jinsi rais Magufuli alivyo, hapepesi maneno inapohitajika kusema ukweli, hajari atamkwaza nani.

Kwakua wakoloni wamelaani kitendo hicho na sisi ndio model wetu,naamini mtajitokeza kulaani pia .
 
Ina maana ni kulaani ya watu na ya kwetu ni poa tu?
 
wakweli Kama jinsi rais Magufuli alivyo, hapepesi maneno inapohitajika kusema ukweli, hajari atamkwaza nani.
 
Pia wamelaani vikali kile kioja cha Raila pale bustani ya Uhuru Park. Anyways, who cares?
 
Gikuyu katika ubora wako, kutetea kila jambo linalofanywa na Jubilee; Tribalism Tribalism Tribalism.
Unaelewa kiingereza, nimesema, who cares? Ziwe habari za Raila, ziwe za rais Uhuru tunafanya vyetu sisi wakenya kwenye nchi yetu ya Kenya. Bishana na ukuta!
 
Kwasababu anayeshutumiwa ni mkikuyu, then no one cares, lakini angekuwa jaluo wewe mwenyewe ungerusha shutuma, ona ulivyoanza kwa kurejea kitendo cha Raila kujiapisha na kutaka alaumiwe.
 
Back
Top Bottom