Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana.
Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu ya ugomvi wa ajira na maisha kwa ujumla .
Mtu anaelipwa dola za kutosha kwa mwezi ukimwambia CCM hawafai kuendelea kubaki madarakani, atakwambia fanya kazi na usitegemee ikja CHADEMA ndio maisha yatakuwa rahisi na mambo mengine ya aina hiyo.
Wacha wakose hizo ajira pengine wataelewa kuwa tatizo la ajira kwa kiasi kikubwa linachangiwa ma sera mbovu na vipaumbele vibovu vya watawala
Nimalizie kwa kuuliza: hela walizotumia CCM kununua magari na kugharamia maazimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa CCM, ni hela zao za ruzuku. au ni kodi zetu wamechota serikalini?
Nasubiri ripoti ya CAG ya mwalkani.