Sasa nimeona nianze kuzungumza mambo ya Urusi sasa.
Hapa duniani nchi iliyobarikiwa kwa resources nyingi chini ya ardhi ni Urusi. Leo nitaongelea nchi zinazoitegemea urusi kwa gas.
... dunia itatafuta other sources of energy hilo lisikutie hofu endapo nchi zitatiwa viburi na resources walizo nazo au kuzitumia kama silaha including gas and oil.