ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Naona kwenye movie zao wazungu unaingia ofisini kwa boss kabla hamjaanza maongezi unashangaa anafungua kabati anatoka na ka whisky au ka wine una pewa toti mbili glass nusu ili kulegeza kidogo ubongo ndipo mnaanza maongezi yaani kiroho safi kabisa.
Hata police ukienda ku report tukio unafika kwa deputy pale kabla hajakusikiliza anafungua ka Spirit chake anakapiga maongezi yanaanza.
Sasa nikataka nijue suala la pombe kwao wanalichukuliaje mbona wanaona kama ni juice tu wakati kwetu huku vilevi viko prohibited kabisa maeneo ya umma ama hata katika ofisi za private Tena anayekunywa anaonekana mshenzi wanasema anadharaulika n.k
Sheria zao zinasemaje?itakuwa waliziangalia upya wakaona sio kila anayekunywa kakilevi basi ataharibu kazi.imagine unaingia ofisini kwa kafulila we ni boss au unaenda TIC unafika unakaribishwa kwenye sofa inakuja glass na ka Hanson choice kadogo au ka konyago safiiii kabisa mnaanza sasa maongezi ila isiwe bia tu iwe kashort kakiaina.