Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Hivi umekwishawahi kujiuliza Tanzania tuna viwanja vingapi vya ndege? Kuna nchi hazina kiwanja cha ndege hata kimoja, tena nchi mbalimbali tu barani Ulaya. Sasa leo nakuletea nchi kumi zinazomiliki viwanja vingi vya ndege duniani.
10. Indonesia: Hii nchi inayopatikana huko Asia ina jumla ya viwanja vya ndege 673.
09. Paraguay: Hii nchi inapatikana huko Marekani ya Kusini, ina jumla ya viwanja vya ndege 799.
08. Colombia: Hii inapatikana huko Marekani ya Kusini, ina jumla ya viwanja 836.
07. Bolivia: Hii pia inapatikana huko Marekani ya Kusini, ina jumla ya viwanja vya ndege 855.
06. Argentina: Hii nayo ipo Marekani ya Kusini, ina jumla ya viwanja vya ndege 1138.
05. Urusi: Hii nchi inapatikana barani Ulaya, ina jumla ya Viwanja vya ndege 1218.
04. Canada: Hii nchi ipo Marekani ya Kaskazini. Ina jumla ya viwanja vya ndege 1467.
03. Mexico: Hii inapatikana Marekani ya Kati, ina jumla ya viwanja vya ndege 1714.
02. Brazil: Hii nchi inapatikana Marekani ya Kusini, ina jumla ya viwanja vya ndege 4093.
01. USA: Hii nchi inapatikana Marekani ya Kaskazini. Ina jumla ya viwanja vya ndege 13,513.