Labda wabadili gia qngani lkn wanavhinwa Sudan huwezi kuupuza mchango wao.km unadhani ni nguvu ya wananchi ndio imemrudisha unajidanganya, huo ulikua ndo mpango walipomkamata baada ya kumpindua na yy ndo atatumika kuhalalisha yanayofuata na yule mtabe atakuja kuwa rais km yule wajina wake wa misri
Huu ni mkakati makisudi wa ccm ili iendelee kubakia madarakaniWatanzania hawajapewa elimu sahihi ya uraia,
hwale walishtk kumtoa bashir na ndio waliopitia mlango wa nyuma kuanzsha maandamano ili wapate kisingizio cha kumchomoa na ndo hcho kilichotokea, ni siasa tu za kina saudi-emirate vs qatar -turkey.Labda wabadili gia qngani lkn wanavhinwa Sudan huwezi kuupuza mchango wao.
Ni wananchi hao hao ndiyo waliouondoa utawala katili wa Bashir. Kwahiyo jeshi limegwaya. Na wakitenda kinyume na matakwa ya raia, wananchi wataliamsha tena.
Hata hivyo huwezi kudharau Nguvu ya Wasudan hata Kidogo. Labda huwa hufuatilii taarifa ya habari.hwale walishtk kumtoa bashir na ndio waliopitia mlango wa nyuma kuanzsha maandamano ili wapate kisingizio cha kumchomoa na ndo hcho kilichotokea, ni siasa tu za kina saudi-emirate vs qatar -turkey.
Fuatlia kilichotokea misri, yanayoendelea libya na tunisia ndio hcho kinachoendelea Sudan, foreign players ndio wanaoongoza mchezo mzima wananchi wanatumika tu baadae mambo ynaishia km misri.
Angalia waliojiandikisha kugombea urais libya utaona picha kamili, sudan pale wasaudia na emirati washafanikiwa kuwatoa maadui zao hawatoruhusu warudi tena kupitia mgongo wa demokrasia.
taarifa ya habari ya TBC! sawa ila jaribu na Al jazeera TRT, Al arabiya, RT, hata CNN piaHata hivyo huwezi kudharau Nguvu ya Wasudan hata Kidogo. Labda huwa hufuatilii taarifa ya habari.
Mpaka kufanikiwa kumuondosha Omar Ally Bashir,Wananchi wa Sudan Walifanya maandamano kwa Miezi 7. Waandamanaji walikuwa hawatoki barabarani,Walikuwa wanapeana zamu za kwenda kula Chakula,ilifikia hatua wanalia Chakula barabarani. Zaidi ya watu 300 walikufa lakini Wananchi wa Sudan hawakurudi Nyuma Kamwe.