President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Ushamba utakuumiza mdogo wangu. KwikwikwikwikwiHiyo jumuia ilishajifia kifo cha mende baada baadhi yao kuwa machawa wa USA na mwamba wao wa middle east Israel
Wewe ndo mshamba kama ipo mbona muislam mwezao anakula kichapo na hakuna wanachofanya?
Wewe unadhani dunia ni vatican tu. Kwikwikwikwikwi Nyama zote unazokula zimechinjwa na waislam. Kati yangu na wewe nani mshamba?Wewe ndo mshamba kama ipo mbona muislam mwezao anakula kichapo na hakuna wanachofanya?
Labda nyama ya nguruweWewe unadhani dunia ni vatican tu. Kwikwikwikwikwi Nyama zote unazokula zimechinjwa na waislam. Kati yangu na wewe nani mshamba?
Kwikwikwikwi. Nimekudunga na kitu kizito umebaki kuweweseka tu. Nguruwe hachinjwi ananyongwa.Labda nyama ya nguruwe
yaan umeona hilo ndo la kujisifia kweli!Wewe unadhani dunia ni vatican tu. Kwikwikwikwikwi Nyama zote unazokula zimechinjwa na waislam. Kati yangu na wewe nani mshamba?
Soma sheria hapa uijue ni nani anatakiwa kuchinja hapa Tanzania.Labda nyama ya nguruwe
Ndio, najisifia kweli kweli, wewe hujisifii?yaan umeona hilo ndo la kujisifia kweli!
Kwikwikwikwikwikwi, TEC ya wazee ambao hawajui kutoumba?TEC kiboko ya OIC
na badoKwikwikwikwikwikwi, TEC ya wazee ambao hawajui kutoumba?
Mwanaume ambaye hawezi kutoumba ni shoga.na bado
JingaNdio, najisifia kweli kweli, wewe hujisifii?
Wewe siyo jinga? KwikwikwikwikwikwiJinga
Organisation of Islamic Cooperation (OIC), inayojulikana pia kwa Kiswahili kama Umoja wa Ushirikiano wa Kiislamu, ni shirika la kimataifa ambalo linalenga kukuza umoja, ushirikiano wa kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa na kijamii kati ya mataifa wa Kiislamu. OIC ilianzishwa mwaka 1969, na makao yake makuu yako Jeddah, Saudi Arabia.
Katika OIC kuna wanachama 57.
Uganda na msumbiji ni wanachama wa OIC.
View attachment 3504805
Umuhimu wa Uanachama wao
- Sera na Ushirikiano wa Kiuchumi
Kwa kuwa ni wanachama, Uganda na Msumbiji wana fursa ya kushiriki katika majukwaa ya OIC kwa ajili ya ushirikiano wa kiuchumi, biashara, maendeleo ya miundombinu, na miradi ya maendeleo ya kijamii.- Mchango wa Kidiplomasia
Uanachama wao unaongeza uwakilishi wa Afrika Kusini na Mashariki katika OIC, hivyo kuimarisha sauti ya bara hilo katika masuala ya Kiislamu ya kimataifa.- Miundo ya Kuunganisha
Kwa kupitia OIC, Uganda na Msumbiji wanaweza kushirikiana na mataifa mengine wa Kiislamu katika maeneo kama elimu, afya, teknolojia, na utamaduni. Pia wana fursa ya kupokea misaada au kushiriki katika mpango wa kiutu wa OIC (wa maendeleo wa kijamii na kiuchumi).- Masuala ya Amani na Usalama
OIC mara nyingi hutoa jukwaa la kuzungumza kuhusu masuala ya amani, ukatili, haki za binadamu, na utawala wa sheria. Uanachama huu unaweza kuwa muhimu kwa Uganda na Msumbiji katika kushirikiana na mataifa mengine wa Kiislamu katika kukabiliana na changamoto za kikanda na kimataifa.
Mkakati wa genge dogo la Muslim Brotherhood (MB)ndani sisiem tunaujua unakoelekea. Vile sasa bunge ni yes yes na kwa kisingizio kuwa donors watakata misaada ndiyo mdogo mdogo mnalipeleka Taifa la Tanzania kwenye OIC. Wamekutuma utesti zali.na bado