Muungano wetu ni wa nchi zilizokuwa Tanganyika na Zanzibar. Leo hii viongozi wanaogopa na kuona aibu kutaja Tanganyika ila wazanzibari wanaona fahari kuitaja Zanzibar, wana bendera yao, wimbo wao wa Taifa, wana bunge lao, Rais wao, serikali yao, mahakama zao.
Kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania Zanzibar siyo nchi, ila Pinda alilia bungeni kisa Rais mswahili Kikwete, yule fala angekutana na Mkapa angejua hajui. Rasimu ya Warioba ipo ila tunataka serikali moja, Zanzibar iwe tu county hawataki waondoke na mpaka baharini uwe kwa faida yetu.