Nchi zinazo zalisha gesi asilia zaidi duniani, 2022

Nchi zinazo zalisha gesi asilia zaidi duniani, 2022

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Nchi zinazo zalisha gesi asilia, zaidi duniani, 2022;

1. Russia (47,805 billion cubic meters)
2. Iran (33,721 bcm)
3. Qatar (24,072 bcm)
4. United States (15,484 bcm)
5. Saudi Arabia (9,200 bcm)
6. Turkmenistan (7,504 bcm)
7. United Arab Emirates (6,091 bcm)
8. Venezuela (5,740 bcm)
9. Nigeria (5,475 bcm)
10. China (5,440 bcm)
 
Nchi zinazo zalisha gesi asilia, zaidi duniani, 2022;

1. Russia (47,805 billion cubic meters)
2. Iran (33,721 bcm)
3. Qatar (24,072 bcm)
4. United States (15,484 bcm)
5. Saudi Arabia (9,200 bcm)
6. Turkmenistan (7,504 bcm)
7. United Arab Emirates (6,091 bcm)
8. Venezuela (5,740 bcm)
9. Nigeria (5,475 bcm)
10. China (5,440 bcm)
Where is Tanzania??
 
Nchi zinazo zalisha gesi asilia, zaidi duniani, 2022;

1. Russia (47,805 billion cubic meters)
2. Iran (33,721 bcm)
3. Qatar (24,072 bcm)
4. United States (15,484 bcm)
5. Saudi Arabia (9,200 bcm)
6. Turkmenistan (7,504 bcm)
7. United Arab Emirates (6,091 bcm)
8. Venezuela (5,740 bcm)
9. Nigeria (5,475 bcm)
10. China (5,440 bcm)
Nigeria kumbe wapo vzr sema ndo wazee wanakula wenyewe huku vijana wanabaki kutapeli mitandaoni
 
Nchi zinazo zalisha gesi asilia, zaidi duniani, 2022;

1. Russia (47,805 billion cubic meters)
2. Iran (33,721 bcm)
3. Qatar (24,072 bcm)
4. United States (15,484 bcm)
5. Saudi Arabia (9,200 bcm)
6. Turkmenistan (7,504 bcm)
7. United Arab Emirates (6,091 bcm)
8. Venezuela (5,740 bcm)
9. Nigeria (5,475 bcm)
10. China (5,440 bcm)
Turkmenistan si ndio kuna the gate of hell? Jamaa walivyoona gesi inavuja wakaja na this bliant idea eti wawashe moto, wakawasha na umekuwa unawaka ever since mpaka leo
 
Turkmenistan si ndio kuna the gate of hell? Jamaa walivyoona gesi inavuja wakaja ni this bliant idea eti wawashe moto, wakawasha na umekuwa unawaka ever since mpaka leo
Sikulifahamu hilo ngoja nifuatilie nione
 
Nigeria kumbe wapo vzr sema ndo wazee wanakula wenyewe huku vijana wanabaki kutapeli mitandaoni
Nigeria ni mojawapo ya nchi za kipuuzi duniani. Wale watu wana uongozi mbovu mno yani ndio ungekuwepo Tanzania tungekuwa tunatukana tu kila siku. Hawana bahati ya kuwa na uongozi wenye nafuu kasoro Umaru Yar'Adua aliyefia madarakani hakudumu sana huyo ndio angezidi kuwa wa maana.

Maliasili walizonazo ni nyingi mno kuwafanya wawe na maendeleo
 
Back
Top Bottom