Halafu Kuna mtu atakuambia USA wanaiba mafuta ya walibyaNchi zinazo zalisha mafuta zaidi duniani 2022, (thousands barrels per day);
1. United States (12,108)
2. Russia (10,835)
3. Saudi Arabia (9,580)
4. Iraq (4,620)
5. Canada (4,129)
6. China (3,823)
7. United Arab Emirates (3,068)
8. Kuwait (2,652)
9. Brazil (2,604)
10. Iran (2,213)
Saudia# 3? au njama? TakbiiirNchi zinazo zalisha mafuta zaidi duniani 2022, (thousands barrels per day);
1. United States (12,108)
2. Russia (10,835)
3. Saudi Arabia (9,580)
4. Iraq (4,620)
5. Canada (4,129)
6. China (3,823)
7. United Arab Emirates (3,068)
8. Kuwait (2,652)
9. Brazil (2,604)
10. Iran (2,213)
Hao Kuwait ni balaa Wana pesa si kawaida. Walitupa msaada Kujenga barabara ya Dar-Lindi-Mtwara. sarama rekuHalafu Kuna mtu atakuambia USA wanaiba mafuta ya walibya
Wakichanganya na pesa za Mahujaj full utajiriYaani niya 3 swadakita kabisa.
🤣🤣Halafu Kuna mtu atakuambia USA wanaiba mafuta ya walibya
KafirHalafu Kuna mtu atakuambia USA wanaiba mafuta ya walibya
hahahahaKafir
Zanzibar?Japo hii list ya mchongo yaani eti Kuwait, Saudia, UAE wapo chini ya USA na Russia. Pia, siioni Zanzibar
Kuna wakati walitaka kutoka kwenye Muungano kwa hoja wao Wana mafuta na gesi ya kutosha. Pengine mafuta ya nazi.Zanzibar?
Ok anyway hizo nchi zinatamba huku
Nchi zinazo zalisha gesi asilia zaidi duniani, 2022
Nchi zinazo zalisha gesi asilia, zaidi duniani, 2022; 1. Russia (47,805 billion cubic meters) 2. Iran (33,721 bcm) 3. Qatar (24,072 bcm) 4. United States (15,484 bcm) 5. Saudi Arabia (9,200 bcm) 6. Turkmenistan (7,504 bcm) 7. United Arab Emirates (6,091 bcm) 8. Venezuela (5,740 bcm) 9. Nigeria...www.jamiiforums.com