thesym JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 3,867 Reaction score 4,859 Mar 8, 2022 #21 mugah di matheo said: Halafu Kuna mtu atakuambia USA wanaiba mafuta ya walibya Click to expand... Hilo halina ubishi, mafuta pia ni kichocheo cha USA kuivamia nchi kama Iraq. Source:Lead-up to the Iraq War - Wikipedia Na uFuatalia kuhusu mpango WA mwaka 1997 unaofahamika kama project for the new America Century. Project for the New American Century - Wikipedia en.m.wikipedia.org USA ni mzalishaji mkubwa WA mafuta pia ni mtumiaji mkubwa WA mafuta kiasi cha kwamba mafuta wanayoyazalisha hayawatoshi. USA ni nchi ya tatu duniani Kwa kuingiza mafuta toka nje kiasi cha mapipa milioni tano Kwa siku. List of countries by oil imports - Wikipedia en.m.wikipedia.org
mugah di matheo said: Halafu Kuna mtu atakuambia USA wanaiba mafuta ya walibya Click to expand... Hilo halina ubishi, mafuta pia ni kichocheo cha USA kuivamia nchi kama Iraq. Source:Lead-up to the Iraq War - Wikipedia Na uFuatalia kuhusu mpango WA mwaka 1997 unaofahamika kama project for the new America Century. Project for the New American Century - Wikipedia en.m.wikipedia.org USA ni mzalishaji mkubwa WA mafuta pia ni mtumiaji mkubwa WA mafuta kiasi cha kwamba mafuta wanayoyazalisha hayawatoshi. USA ni nchi ya tatu duniani Kwa kuingiza mafuta toka nje kiasi cha mapipa milioni tano Kwa siku. List of countries by oil imports - Wikipedia en.m.wikipedia.org
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 8, 2022 #22 Ahsante kwa taarifa...
hayaland JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 712 Reaction score 399 Mar 9, 2022 #23 nchi inayoongoza kwa uzalishaji wa mafuta kwa wingi ni 1,Saudi Arabia 2.Marekani 3.Urusi