NCHIMBI AJITOKEZE AU SERIKALI ISEME ALIPO.

Mimi fulani bin fulani naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa serikali ya naniliu........."sitatoa Siri za serikali " ~ ewe Mwenyezi Mungu nisaidie.

Ukishaapa hivo ikatokea umeenda kinyume na kiapo chako lazima ile kwako . Wacha tuone
Mbona mashahidi wa uongo wanaapa mahakamani?
 
We chawa wapinzani walipokuwa wanatekwa na kupotea ulikuwa unaona ni sawa. Mkawa mnatetea ule upuuzi mkidhani ni kwa wapinzani tu, leo Nchimbi kapotea unaleta habari za watu wa kusini. Endelea kufurahia maana kwenda kinyume na serekali ya majizi ni kukosa uzalendo, hivyo ujue Nchimbi kapotezwa maana sio mzalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…