Nchimbi analipwa alivyowafanyia uamsho

Muhimu Emanuel Nchimbi kwasasa changamoto zake hazijawekwa wazi
Kuna fununu nyingi

Tujipe muda kidogo tutajua
Kinagaubaga

Emanuel Nchimbi kajikwaa wapi

Watanzania matatizo yetu ni yale yale

Tunapenda kuwavisha Utakatifu binadamu wenzetu ❌️

Pasi kuwa watulivu wenye shauku ya kutaka kujua mtajwa kafanya nini

Dk Emanuel Nchimbi hakujiteuwa ile nafasi ya Makamo✅️

Huwezi leo sema Rais Dk Samia Suluhu Hassan hakuusika kuteuliwa kwake Dk Nchimbi

Kwanini leo iwe tofauti ‼️

Wananchi tunapaswa kuzieshimu Mamlaka zetu na kukitokea jambo kama hili sote tunapaswa kusubiri kile tutasikia kutoka kwa Mamlaka zenyewe👈

Lkn makosa yetu tunaanza kuziamini taarifa FAKE❌️

madhara yake zikija taarifa za kweli kumuusu mtu huyo huyo tunaanza kuzipinga‼️

manake sasa tunapinga taarifa Rasmi
Na kuzibeba taarifa za uchochoroni kama ndio taarifa Rasmi

Jamii zenyewe zinakosa
kuelewana kwenye jambo
moja❗️
huyu anasema lile huyu vile

Tuwe na subra nchi hii hakuna mwenye kuonewa yoyote 👈

Lkn Kila mmoja wetu atavuna
alichopanda mwenyewe✍️
 
Pumba zingine bana,,, JK na makamu wake wake wote walikuwa waislam... kwamba walishindwa kumkatalia au kumshughulikia?
 
Hata Polepole kavuna kwa kipimo chake

Wengi wenye kumtetea hawataki kusema kwanini alichagua kujificha kama yeye ni msema kweli 👈

Ukienda kinyume na Makubaliano yako niwewe ndio mwenye Makosa

Makubaliano hayanaga Makosa niwewe ulienda kinyume na Makubaliano yako ✅️
 
Leo lawama anapewa Waziri, kwani serikali ni ya nani? Au kwa sababu alikuwa muislam
 
Haihusiani hii kwani ni yeye kafanya mabaya?mbona hulaumu aliekuwa mkuu wa polisi kipindi hicho?au mkuj wa upelelezi kipindi hivyo umeona waziri wa ulinzi tuu.
Au kwa sababu alikua boss wao ndo lawama kwake
 
Maisha ya Mwanaume yanamapito mengi lkn hakuna mtu hataonewa
Muhimu kwako kujiheshimu kufatana na Makubaliano yako!

Ukianza kujifanya mjuaji zaidi
Utafikiwa tu ndugu👈
hakuna wakuzuiya kufikiwa
kwako👈

Uyo unaemuona leo ni rafiki yako
Ndio huyo huyo atakuwa karibu na Shemeji yake Kipindi wewe uko Lupango🦘🦘
wajinga Ndio waliwao 🫎🫎
 
kuanzia thread,nikaenda X na finally JF sijakutana na thread ya kipumbavu kama hii..
Leo kwenye doria zangu mtandaoni at last nmekutana na Uduansi🤢🤮
 
kuanzia thread,nikaenda X na finally JF sijakutana na thread ya kipumbavu kama hii..
Leo kwenye doria zangu mtandaoni at last nmekutana na Uduansi🤢🤮
Itakuwa askari Doria weye. Ushsrudi kutoa ushahidi kesi ya Lissu?
 
Tafuta kazi ya kufanya mkuu
 
Itakuwa askari Doria weye. Ushsrudi kutoa ushahidi kesi ya Lissu?
Siwezi kua upande wa Jamhuri kwenye kesi kama ile otherwise nilazimishwe lakn with my own free will nipo upande wa mshitakiwa na ni ombi langu ashinde keshi ASAP….
Turudi kwenye mada yako iyo ya kwamba karma inamlipa mpumzishwa Nchimbie juu ya kilchowatokea uamsho.
Embu jaribu kufikiria upi ulikua msimamo wa Baraza kuu la wais kipindi cha uonevu kwenda kwa wanauamsho,pili fikiria juu ya top big fish kipindi kile kuanzia Main mpka Taiwan alafu malzia na hii nani alipress button kati ya Nchimbie na big fish alafu mwisho usisahau kunywa maji mengi hua ni msaada mkubwa sana kwenye kurudisha kumbukmbu hasa ukiwa under influence ya TetraHydrocarbonate(THC)
 
Shida yako wewe ni udini.unalisha watu umbeya na chuki binafsi.kwani wakati huo rais alikuwa nani.huyo Nchimbi aliteuliwa uwaziri na nani.mbona mteuzi wake humwongelei ambaye ndiye aliyetoa amri.mbona hao uamsho baadhi yao wamehukumiwa kunyongwa?aliyewatia hatiani ni nani ?acheni nyuzi za kimbeya.mnatetea waharifu kwa kuwa ni wa imani yenu.nchi haiendeshwi kwa imani zetu bali kwa kufuata haki.
 
Haaaa uamsho yalikuwa makundi ya kigaidi kwa asilimia 100^ au unataka kuleta ubishi hata kwenye kitu kilicho wazi kabisa ....wakristo na wazalendo na wasio waislamu wa tanzania wanavuna walicho kipanda kwa kuwachekea waislamu ..ila haya viongozibwaislamu wanayo ifanyia nchi kwa sasa yatakuwa funzo kamili hakuna tena mkristo atakaye shika nchi na kuchekea kima za masjid ..shika haya maneno yangu ...maovu yote wanayo tendea nchi waislamu viongozi na vibaraka wao yana kuja na BACKFIR KUBWA SANA ...SASA YATAWAFANYA WAKRISTO WOTE KUWA NA ITIKATI ZA MTIKILA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…