Nchimbi bei poa aenda Yanga kwa milioni 20 tu

Halafu hawa vilaza utawasikia ooh timu ya wananchi inaendeshwa na wananchi, huku usajili anawafanyia gabacholi GSM, mishahara ikikwama bado gabacholi anawaokoa.
 
Ushamba wako mzigo wako wewe hata kununua bando lankuingia JF mpaka ujipigepige.Wewe ni lini ulipata hiyo 20 mil.
Halafu hawa vilaza utawasikia ooh timu ya wananchi inaendeshwa na wananchi, huku usajili anawafanyia gabacholi GSM, mishahara ikikwama bado gabacholi anawaokoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huna taarifa za kutosha usilete Uzi,hiyo hela imelipwa azam kutokana na mkataba alikua nao........
 
Halafu hawa vilaza utawasikia ooh timu ya wananchi inaendeshwa na wananchi, huku usajili anawafanyia gabacholi GSM, mishahara ikikwama bado gabacholi anawaokoa.

Simba inaelekea hakuna gabacholi....Mo ni Mnyaturu au Mnyiramba...tehtehtehteh
 
Misharaha ya Simba inalipwa na Kampuni au hujui kuwa Simba ni kampuni? Mambo ya kutembeza Bakuli mmebaki Yanga na huyo Gabachori Atachoka ngoja TRA wamkague

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi leo walikuwa wanasubiri useme ili wamkague?
Kampuni hewa haina hela. Kanunueni hisa tuone. Kadi mlikuwa mnalipiwa siku ya uchaguzi, sash hisa moja ni laki nne!
Mo akiumwa mafua tu, mnahaha
 
Simba ni kampuni kwanini unabisha au hutaki kukubali? Wachezaji wanakimbia mishahara hakuna msipende kuiga mtakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba kampuni ya mfukoni mwa Mo, akiamua anaiuwa Mara moja. Wengine nyote including you ni wale wa oya oya hata mambo ya hisa mnayasikia tu, kama mie muongo tusubiri siku moja tutajionea.
 
Simba kampuni ya mfukoni mwa Mo, akiamua anaiuwa Mara moja. Wengine nyote including you ni wale wa oya oya hata mambo ya hisa mnayasikia tu, kama mie muongo tusubiri siku moja tutajionea.
Ukimuuliza account ya kampuni ina Shs ngapi hawezi kujua.
Hawajui Mo ni mfadhili tu hadi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…